Ulianzaje kukaa gheto?

Mimi nilivyomaliza huo 2011 nilikaa home 1yr niseme tu ukweli ni liondoka home kwenda kuisgi kwa demu wangu aliekuwa akifanya kazi hotelini baada ya hapo akapata ujauzito huduma zote nikazibeba mimi sasa hapo nikiwa jobless niseme tu inahitaji roho ngumu sanaa nikipambana hadi mwisho nilipitia tanuli la moto aise kila kazi nilifanya mungu anisamehe mwishoni 2015 ndo napata ajira za kikwete sasa nipo na wife wangu w geto hana kazi mimi ndo naendesha familia nyumba watoto 3 ajira biashara asante mungu .vijana msikate tamaa yote ni mapito
 
Nice brother. Yaani ww unamaliza chuo mm Niko form three, unapata kazi mm ndo namaliza form six. Kupanga umeanza kitambo Sana broo
 
Rangi nzuri[emoji39]
 
Big up sana mkuu
Asante piah kwa kutia moyo vijana [emoji119][emoji119]
 
Jiandae tu mwamba ununue kitanda Cha maaana Ni Bora utumie mda lkn ukinunua huji kubadilisha tena. Mm wakati naanza nilinunua Cha Bei rahic (70k) Sasa kubadilisha imekua jau kweli, hela napata lkn mipango Ni mingi. View attachment 2089351
Wee sasa hapo style ya msomali kafia kwenye fiati si mnaanguka chini puuuih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nunua kitanda kikubwa bhana lol.
 
[emoji2][emoji2][emoji2] nipo Pacha...sema majukumu na harakati ni nyingi....Maisha yapo kasi sana....Ukinimiss sana kama hivi mwenyewe najikuta nakumiss mara mia....njoo PM nikuelekeze njia [emoji3]
Nakuja pacha angu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…