Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
[emoji23][emoji23]Kupiga ngoko mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Kupiga ngoko mzee
Nice brother. Yaani ww unamaliza chuo mm Niko form three, unapata kazi mm ndo namaliza form six. Kupanga umeanza kitambo Sana brooMimi nilivyomaliza huo 2011 nilikaa home 1yr niseme tu ukweli ni liondoka home kwenda kuisgi kwa demu wangu aliekuwa akifanya kazi hotelini baada ya hapo akapata ujauzito huduma zote nikazibeba mimi sasa hapo nikiwa jobless niseme tu inahitaji roho ngumu sanaa nikipambana hadi mwisho nilipitia tanuli la moto aise kila kazi nilifanya mungu anisamehe mwishoni 2015 ndo napata ajira za kikwete sasa nipo na wife wangu w geto hana kazi mimi ndo naendesha familia nyumba watoto 3 ajira biashara asante mungu .vijana msikate tamaa yote ni mapito
Rangi nzuri[emoji39]Good mzee, Mambo huanza hivyo. Hata hivyo umeanzia vzr mwamba, ghetto liko poa lina marumaru hope na ceiling board ipo.
Kwa mwanzoni ongeza sabufa mkuu, na TV ili usiwe mpweke sana. Ukikaa alone unakua hauboreki Sana, si unajua Kuna time unakuta unapenda kua alone ghetto bila bugudha za watu huko nje.View attachment 2088967
[emoji23]usiwaze halijanishawishi mie @my wanguAaaah mywangu [mention]mawardat [/mention] asione hi utaniiibiaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Keep it up boss
ThanxRangi nzuri[emoji39]
Big up sana mkuuMimi nilivyomaliza huo 2011 nilikaa home 1yr niseme tu ukweli ni liondoka home kwenda kuisgi kwa demu wangu aliekuwa akifanya kazi hotelini baada ya hapo akapata ujauzito huduma zote nikazibeba mimi sasa hapo nikiwa jobless niseme tu inahitaji roho ngumu sanaa nikipambana hadi mwisho nilipitia tanuli la moto aise kila kazi nilifanya mungu anisamehe mwishoni 2015 ndo napata ajira za kikwete sasa nipo na wife wangu w geto hana kazi mimi ndo naendesha familia nyumba watoto 3 ajira biashara asante mungu .vijana msikate tamaa yote ni mapito
[emoji23]usiwaze halijanishawishi mie @my wangu
Ni Kupiga ngondi au kula ngoko I mean kutembea kwa miguu[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]anza kanoon ndo nini?
Hujambo mwanangu? 😎Nice brother. Yaani ww unamaliza chuo mm Niko form three, unapata kazi mm ndo namaliza form six. Kupanga umeanza kitambo Sana broo
2011 mimi namaliza la 7Nice brother. Yaani ww unamaliza chuo mm Niko form three, unapata kazi mm ndo namaliza form six. Kupanga umeanza kitambo Sana broo
[emoji16][emoji16][emoji16]lugha ngumu kinomaNi Kupiga ngondi au kula ngoko I mean kutembea kwa miguu[emoji2][emoji2]
[emoji16][emoji16]hyo wanaita misimu kwenye somo la kiswahili[emoji16][emoji16][emoji16]lugha ngumu kinoma
Yanazuka na kutoweka[emoji16][emoji16][emoji16]hyo wanaita misimu kwenye somo la kiswahili
Au kuprint 😄Yanazuka na kutoweka[emoji16]
Wee sasa hapo style ya msomali kafia kwenye fiati si mnaanguka chini puuuih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jiandae tu mwamba ununue kitanda Cha maaana Ni Bora utumie mda lkn ukinunua huji kubadilisha tena. Mm wakati naanza nilinunua Cha Bei rahic (70k) Sasa kubadilisha imekua jau kweli, hela napata lkn mipango Ni mingi. View attachment 2089351
Basi vizuri.Amna mi kitambo mbna nipo mtaani
Nakuja pacha angu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji2][emoji2][emoji2] nipo Pacha...sema majukumu na harakati ni nyingi....Maisha yapo kasi sana....Ukinimiss sana kama hivi mwenyewe najikuta nakumiss mara mia....njoo PM nikuelekeze njia [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyoooohUsiniambie[emoji23]!!!!!