Ulianzaje kukaa gheto?

imagine nilikuw nalala saa nne usiku nakuja kusinzia saa 8 au 9 kisa mawazo plus mwili kupungua .

"ukiona maisha yamekuwa magumu sana ebu we kaza hapo hapo ndo kuna tundu lenye mwanga"
For real mkuu
 
Oy week ijayo nanunua flat inch 20 na tv show case nimemuambia fundi aichonge kwa 100,nimemkatia 45000 kama advance,tv badjet yangu ni 200000 sijui kama nitafanikiwa..niombeeni wadau nisupate majanga hapa katikati
Kwanini usijichange udake hata 32 ndo uanze nayo?
 
Ngoja nipambane nichukue hata 24, 250+ naweza kujichanga ...sema nna mambo mengi na huu uzi ndo unanipa midadi,baada ya kuupitia huu uzi niligundua kuwa nacheza
Ukifika mpaka 250
Unaweza kufika 350 ya nchi 32 ‘ kama upo dar.. ila hisense kwa bei hiyo hupati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…