The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Duh mi niko makambakoKibamba, Dar.
Makambako inafika, kama ukitaka. Wewe tu, suala ni mkakatiDuh mi niko makambako
Ni aina gani jamaa??!..ipige photo tufanye bizneaMakambako inafika, kama ukitaka. Wewe tu, suala ni mkakati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3]Unanisema kijanja [emoji28][emoji28][emoji23][emoji28]
Ni Homebase, double glasses..Ni aina gani jamaa??!..ipige photo tufanye biznea
Chek PMNi aina gani jamaa??!..ipige photo tufanye biznea
Hana haha ya kitanda[emoji23]Nitakuja kukupa kitanza ili usilale chini mrembo
Mie mwenyewe naweza hadi kifunga neti[emoji23]Najitolea kufungia kitanda, Kabati, meza, TV na kila kitu kinatakiwa kufungwa.
Ahsante[emoji7]Hongera sana na karibu siye tulishakuwa wakongwe kitambo sana.
Mchina haufai250.. mchina
Mbao kawaida 350
Classic 450
Mninga inazidi hizo bei
Sio wa kuonewa huruma[emoji23]kipind nmeanza kukaa getto kuna siku dingi alikuja kunicheki (nilikuw naumwa) alikuta nalalia mkeka na shuka moja ya kimasai.
nilikaa nae kama masaa manne akaniaga anaenda sokoni wakati anarudi nikasikia mlio wa pkpk kutoka nje namuona anashusha godoro 5x6 alafu nene kichiz akanipa kisha akaaga anarudi nyumbani maana muda wa magari ulikuw umeenda.
haikuchukua ata week nililiuza nikaongezea kwenye biashara nikaendelea kulalia mkeka.
sasa kuna siku alikuja town akaomba aache mizigo yake kwangu aisee ..............
ila haya maisha
[emoji2440][emoji2440][emoji2440][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]mara unasikia bibi kameza shilingi tano,yupo hosp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]............Mungu akufanyie wepesi[emoji7]Oy week ijayo nanunua flat inch 20 na tv show case nimemuambia fundi aichonge kwa 100,nimemkatia 45000 kama advance,tv badjet yangu ni 200000 sijui kama nitafanikiwa..niombeeni wadau nisupate majanga hapa katikati
Akilituliza na lenyewe uwa linatulia
Sitaki kulikumbuka lilivyoanza kuvimba[emoji23]milango ilikuwa haifungi,Akilituliza na lenyewe uwa linatulia