Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

kipind nmeanza kukaa getto kuna siku dingi alikuja kunicheki (nilikuw naumwa) alikuta nalalia mkeka na shuka moja ya kimasai.

nilikaa nae kama masaa manne akaniaga anaenda sokoni wakati anarudi nikasikia mlio wa pkpk kutoka nje namuona anashusha godoro 5x6 alafu nene kichiz akanipa kisha akaaga anarudi nyumbani maana muda wa magari ulikuw umeenda.

haikuchukua ata week nililiuza nikaongezea kwenye biashara nikaendelea kulalia mkeka.

sasa kuna siku alikuja town akaomba aache mizigo yake kwangu aisee ..............

ila haya maisha
Sio wa kuonewa huruma[emoji23]

Kulala chini kwenye mkeka kunavyouma looh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oy week ijayo nanunua flat inch 20 na tv show case nimemuambia fundi aichonge kwa 100,nimemkatia 45000 kama advance,tv badjet yangu ni 200000 sijui kama nitafanikiwa..niombeeni wadau nisupate majanga hapa katikati
[emoji23][emoji23][emoji23]mara unasikia bibi kameza shilingi tano,yupo hosp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]............Mungu akufanyie wepesi[emoji7]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom