Ulianzaje kukaa gheto?

Acha kuadd unnecessary pressure to their hustles.
 
Mbona unapangia watu matumizi ya rasilimali zao?
 
Nlipost hiii mwaka 2020 na badae December mwaka huo huo nikawa nasepa maskan kwenda kuanza maisha kitaaa bila kuwa na mishe yoyote. Kiukweli nilipiga kazi yoyote iliokuja mbele yangu na hiii ikansaidia kukutana na washikaj mbalimbali ambao ikasaidia kupeana michongo. Hadi Sasa npo get naona hatua zinaenda ila kwa mwendo wa Kobe.
 
Hongera bro keep pushing
 
Hii ni sheria ama

Vp ukiwa na miaka 25 na una nyumba y'ako hii sheria inakuhukumu pia umewahi ama yenyewe inaangalia ukichelewa tu
 
oya we mzee em toa tips namna ya kuandaa kitu hcho[emoji2]

[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu hapa lazima uwe na viaz
Tangawiz,kitunguu swaumu carrot na hoho
Na kitunguu maji[emoji1316]
 
Hii ni sheria ama

Vp ukiwa na miaka 25 na una nyumba y'ako hii sheria inakuhukumu pia umewahi ama yenyewe inaangalia ukichelewa tu
Kwenye utafutaji na kufanikiwa haitegemei umri kinachozingatiwa ni wewe katika mipango yako, bahati, miongozo yako na waliokuzunguka.

Unaweza kufanikiwa katika umri mdogo lakini ukafika umri wa kati na utu uzima mafanikio yakayeyuka.

Unaweza kutafuta hufanikiwi katika umri mdogo na kati lakini ukafanikiwa na umri wa utu uzima mpaka uzeeni.

Kwahiyo aliye na umri mkubwa na bado anatafuta na bado hajafanikiwa asikate tamaa atafanikiwa mbeleni cha msingi asiache kufanya kazi. Kila mtu ana bahati yake.

Tusiwafungie watu kwenye nira ya mafinikio katika umri.Mafanikio huja wakati wowote muda wowote. Subira na kudra za Mwenyezi Mungu zinahitajika kwa kila aaminiye.
 
Umesema kweli mkuu, big up sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…