Ulianzaje kukaa gheto?

Huu uzi umenifanya nitoke home. Nimehamia makao makuu ya nchi. Natamani nipate marafiki mapambanaji wa JF huku.
Hongera sana mkuu[emoji119][emoji119],dodoma huko huwez kosa marafiki humu
 
Wee mwanaume kukaa gheto hatuanzi na godoro la million kasoro. Acha zako. Hiyo million ujue ndio tayari gheto lilisha ng'aa kabisa....kinachobaki hapo ni kualika mrembo aje alibariki kwa kukojolea godoro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzi huu ulinifanya kuwa na stress sana, nliwaza namna ya kuchomoka skan ukizingatia nilipata kazi maeneo ya skan, na Mazaa aalikua hata kabisa kuskia maswala ya kupanga,
## ilifika hatua nkaplani kujenga gofu langu na nichomoke skan kwa techniq ya kulinda kwangu.
## But i thank God, nmepata job mkoa x japo ya kujitolea, ni nimeanza life kibabe na godoro na ndoo za kuazima kwa mdau
View attachment 2252152
 
Safi Sana mkuuu, hapo mpaka December si haba
 
Kwl kabisa vijana wengi tunaoa kisa kikubwa ni kuosha vyombo nyege kufua nasi kuoa kwa sababu sasa unahitaji familia mwisho wake majanga na maumivu kwa sisi vijana nakazia ukishindwa kupika n kuosha vyombo vyk mwnyw bora ununuwe kwa mama ntilie tuhh japo vyakula vyao bora ushibe
 
Mzee Mambo ndo yako hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…