Ulianzaje kukaa gheto?

Nilipoaanza kukaa gheto ndo nilijua kwa nini nilikuwaga nakula kichapo nikiokota hela ndani na kusema ni yangu

Gheto ni industry ya great thinkers wengi
It teaches than a school teacher
[emoji848]
Kabisa yani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]ugali wa muhogo na nyanya chungu

Unawaza yaani daah sijawahigi kushiba yaani sikuridhikaga na chakula,

Nilikuwa nakula tu najaza tumbo,hadi kakitambi kalianza[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ugali wa muhogo na nyanya chungu

Unawaza yaani daah sijawahigi kushiba yaani sikuridhikaga na chakula,

Nilikuwa nakula tu najaza tumbo,hadi kakitambi kalianza[emoji16]
Sasa kakitambi hakapo? Amaebaki chura tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…