Vile tunajaribu kimbia homeHuu uzi bwana[emoji1479]
SafiVile tunajaribu kimbia home
Makambako karibu kwenye upepo mkali. Kila kitu kipo, makanisa na baa zinazokesha zipo. Madem wanaohama hama wapo wa kutosha, wewe tu.Mwez ujao naaga rasmi hom, uelekeo makambako wenyeji nipokeeni.
Karibu sana mkuu makambako ni sehemu flan amaizing,kuanzia mitikasi hadi lifestyleMwez ujao naaga rasmi hom, uelekeo makambako wenyeji nipokeeni.
Yaani chumba ndo Cha elf 50 kulipa miezi 6 laki 3 hii ilikua kwenye akiba kutoa matumizi yote ndo nikabakiwa na elf 30Hongera endelea kupambana,ila cjaelewa iyo elfu hamsini matumiz yake kwamba ulitoa kodi miez sita,ukanunua na godoro ikabaki elfu 30 ,
Nawasilisha.
Asante mkuuAll the best ndugu
Ndio naona mabadiliko Sasa ... shukranSafi sana,ulivyotoka na hatua utaendelea kupiga,kuliko ulivyokuwa kwenye Comfort zone.
Mwangu unapenda Sana Game unaplay fifaView attachment 2310114
Just refreshing....game time...
Hahahahah daaahKila mtu ana vipaombele vyake. TusipangianeView attachment 2311184
Nop mkuu ni ps manMwangu unapenda Sana Game unaplay fifa
Hahahaha nimecheka icho chungu hapo pia hilo godoro daaahKila mtu ana vipaombele vyake. TusipangianeView attachment 2311184
watu hawaNa jambo mkuu😁😁😄Mbona kumepoa humu ,mmehamia uzi upi wadau?
geto la mselaKila mtu ana vipaombele vyake. TusipangianeView attachment 2311184
Yani kama mimi kiufupi heri nisiwe na flat lakini mdundo wa kufilia mtu uwepo ndani niko radh nikachukue hometheater 700k lakini sio kuwa na izo flat.Kila mtu ana vipaombele vyake. TusipangianeView attachment 2311184