Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Wanangu tuzidi kupambana,maisha yenye unafuu yapo kama tutaongeza juhudi. Pia tusiache kuzingatia sana sehemu ambayo tunarudi kulala kila siku baada ya mihangaiko.
Haijalishi uko bize kiasi gani ila hakikisha kwako unapajali hata kama ni single room.

Ghetto likiwa bora kiasi hata morrale ya kuwahi kurudi ghetto huongezeka, hata mood ya mapambano ya shilingi huongezeka pia.

Kurefresh ni muhimu wanangu wa maghettoni ila tusijisahau sana,hapa namaanisha kwa mtu mwenye kipato cha laki 3 kula bata la laki 1 hiyo ni anasa. Tununue vitu ambavyo vitakua kama namna moja au nyingine ya kutunza pesa zetu. Hapa namaanisha nunua furnitures, electronic devices,KIWANJA (kama kipato kina ruhusu),etc.

Hii itasaidia hata kama siku huna pesa mkononi ila unakua unaiona pesa katika angle nyingine ya assets na vinginevyo.

ZINGATIA: PENDA GHETTO LAKO,HESHIMU GHETTO LAKO"

Si kila mtu anapaswa kulazwa ghetto kwako.
 
Well said mkuu [emoji119]
 
Wenyej wa Arusha naombeni mnisaidie et gharama za room iwe single au master ni bei gani location kama namanga au longido coz npo na mpango wa kufika huko..
 
Ngoja waje mkuu
 
IMG_20220703_215135.jpg
 
Ivi kuna wale jamaa wa kuazima mageto hadi saivi kama wapo na je unaweza kuazima geto lako hadi saiii?maana kipindi nipo nyumbani wale washikaji kipindi kile walitutanguliaga sometime ukiwaazima...

Geto uchinjie eidha wakutoze ela kidogo..
Akupe lakini kwa shingo upande au... asikupe kabisa lakini nilipokujaga kuanza maisha ya kujitegemea ndipo nikajua uchungu wa kumuachia mtu geto langu....
Na nikagundua ni kwanini mda mwingine tulikuwaga tukibaniwaga na wenzetu waliotutangulia kuwa nayo.
 
Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana
 
kila la kheri mkuu.
 
Back
Top Bottom