Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema bora wajaribu wajifunze in practical way [emoji16][emoji23]
Well said mkuu [emoji119]Wanangu tuzidi kupambana,maisha yenye unafuu yapo kama tutaongeza juhudi. Pia tusiache kuzingatia sana sehemu ambayo tunarudi kulala kila siku baada ya mihangaiko.
Haijalishi uko bize kiasi gani ila hakikisha kwako unapajali hata kama ni single room.
Ghetto likiwa bora kiasi hata morrale ya kuwahi kurudi ghetto huongezeka, hata mood ya mapambano ya shilingi huongezeka pia.
Kurefresh ni muhimu wanangu wa maghettoni ila tusijisahau sana,hapa namaanisha kwa mtu mwenye kipato cha laki 3 kula bata la laki 1 hiyo ni anasa. Tununue vitu ambavyo vitakua kama namna moja au nyingine ya kutunza pesa zetu. Hapa namaanisha nunua furnitures, electronic devices,KIWANJA (kama kipato kina ruhusu),etc.
Hii itasaidia hata kama siku huna pesa mkononi ila unakua unaiona pesa katika angle nyingine ya assets na vinginevyo.
ZINGATIA: PENDA GHETTO LAKO,HESHIMU GHETTO LAKO"
Si kila mtu anapaswa kulazwa ghetto kwako.
Tuko pamoja Walec[emoji1666][emoji109]Well said mkuu [emoji119]
Safii bro mdogo mdogo
Baada ya mshua afya kukaa sawa imenibidi nimeache kitaa nivute ghetto rasmi. Safari imeanza sasa. View attachment 1996144
Air freshener ifiche sehemu mtu akija awe anapata harufu nzuri tu hajui inatoka wapi.Ghetto limepata upgrade wadau (Samsung 55’). Mungu mkubwa.View attachment 2290367
Safi sanaGhetto limepata upgrade wadau (Samsung 55’). Mungu mkubwa.View attachment 2290367
Mwakani nitapost kama hiiGhetto limepata upgrade wadau (Samsung 55’). Mungu mkubwa.View attachment 2290367
Sasa unapika karibu na kitandaa? Duuh.
Sasa unapika karibu na kitandaa? Duuh.
kila la kheri mkuu.Nimeanza kwa kuchoka kukaa nyumbani Kuna umri ukifika unatakiwa tu uondoke nyumbani sikua na kazi but nilikua na akiba nikatafuta chumba Cha elf 50 nikalipia miezi 6 nikanunua godoro na vitu vichache nikabakiwa kama na elf 30 ya kuanza maisha sikua najua nitaishije lakini nilikua nafurahia kupanga niliona nimepiga hatua flani maisha bado hayajakaa sawa but naimani yatakaa sawa tu napambana