Ulianzaje kukaa gheto?

Wadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
Achana nayo... Siku zinavyo zidi enda ndio mstari unazidi kupanuka
 
nilianza na godoro jiko na sabufa,
tena nliponunua godoro nlisahau mashuka,
nikiamini kuwa tommorow ama keshokutwa,
mambo yatakua mororo na itakua supa,
nacheki kwenye ukuta kuna nyufa ila utakuta picha ya tupac,
cha kwanza ni extension na charger,
Tv hanasa kwa kuanza haina haja,
maji ndoo moja ukioga maliza na haja,
chini nimetupa nguo na pea zangu za raba,
nishaaga dom kuwa sirud kwa mazeri,
kipindi cha joto nikaona gheto sio fashion nikajichanga mwana nikadaka na feni,
kinatoka cha mtume babe akija kunisabahi,
siku zote ni mwendo wa nguna na mboga ya mayai,
kikibaki kiporo msela sing'oi meno,
mnaopenda kuharakisha naomba msicomplicate ipo sku mtaishi mbezi nje bonge ya fensi,
wengi akili ya kupanga wameipata kwa madenti,
ndo walipoanzia wana wanaokutana sheli,
mchana pasi ndefu usku mwendo wapaseleli,naongezea kikombe sufuria na flampeni😂😂
 
Wadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
Hicho kioo kishapasuka tayari
 
Asee hongera sana mkuu [emoji119][emoji119] Mandonga mtu kazi [emoji23]
 
Wadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
Usichukue mzee,tv ikiwa hata na kidoti tu inakata stim,sembuse mstari
 
Majengo sokoNi hiLi goma ndo foma langu pendwa nikiwa geto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…