fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Ndyo mkuu ile ndogoUnatumia Sony Theater?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndyo mkuu ile ndogoUnatumia Sony Theater?
Achana nayo... Siku zinavyo zidi enda ndio mstari unazidi kupanukaWadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
Siku ukijenga nyumba yako ndio utajua hakuna ujinga na ushamba unauma kama mpangaji agonge misumari ukutani, atoboe ukuta atundike tv... Utatamani umvunje kiunoGOD is Good, mwaka wa kwanza ndo umekata ivoo[emoji120]
Maombi yenu wadau nisije rudisha mpira kwa kipa[emoji110]
View attachment 2326242
View attachment 2326243
Hahaha kuna uzi wa friji uko humu, kuna mwamba Ana friji la pepsi gheto nilicheka sana.Hahh! Ila kweli Kila mtu na priorities zake. Mimi kheri nilale chini ila niwe na fridge amazing iliyojaa mazagazaga[emoji23]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Siku ukijenga nyumba yako ndio utajua hakuna ujinga na ushamba unauma kama mpangaji agonge misumari ukutani, atoboe ukuta atundike tv... Utatamani umvunje kiuno
Hicho kioo kishapasuka tayariWadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
Hakija pasuka mtoto alikuwa ana chezea kitenesi kikaruka kikapiga kioo ndiyo mstari ukatokea kwenye kioo mstari mdogo tu, Ni smart Tv inch 50Hicho kioo kishapasuka tayari
Hakija pasuka mtoto alikuwa ana chezea kitenesi kikaruka kikapiga kioo ndiyo mstari ukatokea kwenye kioo mstari mdogo tu, Ni smart Tv inch 50
Asee hongera sana mkuu [emoji119][emoji119] Mandonga mtu kazi [emoji23]Dah wakubwa niaje aisee ...? Leo nalala gheto kwa mara ya kwanza tangu nlivorudsha mpira kwa kipa mwaka jana mweZi wa 3...nmejipanga sio kitoto kama mandonga vile godoro jipya kitanda kipya home theatre ndoo zangu 3 napeta nadhani had mwezi wa 3 mwakAni mungu akibariki ntajibless na flat....wengine ambao bado wanafosi mungu awasaidie [emoji120][emoji120]
Kila lakheri mkuuGOD is Good, mwaka wa kwanza ndo umekata ivoo[emoji120]
Maombi yenu wadau nisije rudisha mpira kwa kipa[emoji110]
View attachment 2326242
View attachment 2326243
Usichukue mzee,tv ikiwa hata na kidoti tu inakata stim,sembuse mstariWadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
😄😁 shukran sana safari hii mikazo inapgwa kama NgOmaAsee hongera sana mkuu [emoji119][emoji119] Mandonga mtu kazi [emoji23]
Majengo sokoNi hiLi goma ndo foma langu pendwa nikiwa getonilianza na godoro jiko na sabufa,
tena nliponunua godoro nlisahau mashuka,
nikiamini kuwa tommorow ama keshokutwa,
mambo yatakua mororo na itakua supa,
nacheki kwenye ukuta kuna nyufa ila utakuta picha ya tupac,
cha kwanza ni extension na charger,
Tv hanasa kwa kuanza haina haja,
maji ndoo moja ukioga maliza na haja,
chini nimetupa nguo na pea zangu za raba,
nishaaga dom kuwa sirud kwa mazeri,
kipindi cha joto nikaona gheto sio fashion nikajichanga mwana nikadaka na feni,
kinatoka cha mtume babe akija kunisabahi,
siku zote ni mwendo wa nguna na mboga ya mayai,
kikibaki kiporo msela sing'oi meno,
mnaopenda kuharakisha naomba msicomplicate ipo sku mtaishi mbezi nje bonge ya fensi,
wengi akili ya kupanga wameipata kwa madenti,
ndo walipoanzia wana wanaokutana sheli,
mchana pasi ndefu usku mwendo wapaseleli,naongezea kikombe sufuria na flampeni😂😂
goma lina niinspire sana ili aseehMajengo sokoNi hiLi goma ndo foma langu pendwa nikiwa geto
Dalili za kioo kufa. Achana nayo.Wadau kuna rafiki yangu anauza Smart TV inch 50 nataka kuinunua lakini ina tatizo la mstari mdogo kwenye kioo, Je hauta sumbua mbeleni labda kuongezeka na kuleta madhara zao?
Hongera sana,GOD is Good, mwaka wa kwanza ndo umekata ivoo[emoji120]
Maombi yenu wadau nisije rudisha mpira kwa kipa[emoji110]
View attachment 2326242
View attachment 2326243