Tunashare experience mkuu, kuna vitu vingi sana kama tungevijua au kuambiwa mapema, leo hii tusingekuwa hivi tulivyo. Lengo wote tufike.Kaka nashukuru Sana!
Nyie ndio binadamu wachache mliobaki ili kushauri wengine! Bro natembea na maneno yako konki!
Thanks for caring [emoji120][emoji120]
Zimefika mkuuDah unyama sana bro huyo manzi yako ni smart sana msalimie
Niliwahi kula chakula cha wa Zanzibar yani mboga yao ni mchuzi ni mimaji wao hawatumii mafuta Yani wakipika Samaki mchuzi unakuwa kama maji na minyanya inaonekana kiukweli nilishindwa kula, Mimi napenda rost.Mapishi sio wingi wa nyanya au mafuta. Hata bila mafuta Mboga inakuwa nzuri.
Pia vitu kama unga wa karanga/tetere au starch ya muhogo inatoa rost nzito na tamu na ni asilia kuliko kujaza mafuta.
Sasa mkuu unaishi na demu hujui anafanya kazi wapi Ndungu zake wanaishi wapi na rafiki zake kweli inawezekana?Sikushauri sana labda wa kwako anajielewa, Mimi nilifanya hivo Dem alizingua kumchana ukwel, natoka job nakuta room mbili zote empty kakomba kila kitu hakuna alichoacha
We ndo mwanaumeDaaaah nimekumbukaa mbali sana nimemaliza chuo 2015 nimesota mno 2016 nikajilipua nikatoka home kigambon mpaka tabata cna kaz uzur nilikuwa nakila kitu kuanzia godoro kitanda fen redio tv chumba 70k nikalipa six month pesa niliomba nikabakia na laki hiv piga mishe kitaa na laki ikakata maisha yakawa magum sana nikawa nafanya kaz yyte iliyopo mbele yangu nimebeba tofali nimeuza sabun lkn wap baada ya miez mitano nikarudisha mpira kwa kipa nikaenda home nikakaa miez mitano nikasepa tena nikaona nihame mkoa mpaka sasa niko arusha mi siiti gheto naita nyumba sahiv nipo nishazoea.
Ukitaka kujua vitu muhimu vya kuanza navyo tumia formula hii kufikiria daily routine then vitu utavijua chapUkianza kukaa geto vitu Gani ni muhimu kuwa navyo?
Umetisha mzee [emoji23][emoji119][emoji119]Ukitaka kujua vitu muhimu vya kuanza navyo tumia formula hii kufikiria daily routine then vitu utavijua chap
Kila kimoja ntakipa namba yake
Let's gooo..
Ukiamka asubuhi(kabla ya kuamka ulilala ulilala wapi?si kitandani [emoji23][emoji23]
So unahitaji kitanda,neti na mashuka yake(1)
Haya tuendelee ukishaamka asubuhi utaenda kuoga,sasa utaogaje bila ndoo na kopo?labda kama kuna bomba la mvua bafuni [emoji23] ila kama hamna unahitaji ndoo.sasa hayo maji ya kuoga utayatoa wapi? Si Kwenye dumu la maji
So unahitaji ndoo na madumu ya maji kuhifadhi maji(2)
Ukishaoga utarudi zako ndani kuvaa nguo sasa utavaaje nguo bila kupiga pasi ??acha ushamba [emoji23] kuwa smart bhana
So unahitaji pasi ongezea na extension cable hapo au utachomeka pasi ukutani upigwe shoti ufe (3)[emoji23][emoji23]
Ukishavaa nguo zako baada ya kupiga pasi si utahitaji kula breakfast either ukanunue mihogo kwa mama ashura au ule kiporo cha ubwabwa cha jana usiku sasa hicho kiporo ulikiweka wapi? si Kwenye vyombo mjomba [emoji23][emoji23] utakulaje bila vyombo si utatumia sahani,mabakuli na masufuria na vikombe na vijiko(4)
Halafu kijana haupo serious hicho kiporo unadhani kilishuka kimiujiza kutoka mbinguni si ulitumia jiko kupika[emoji23](5) jiko la gesi ndo zuri kigheto ghetto chap kwa haraka
Sasa ukishakula si utatoka kwenda Kwenye mishe zako bro ghetto kumbuka haujaweka mapazia watu watachungulia ndani[emoji23](6) weka pazia bhana for privacy
Sasa si umeenda Kwenye mishe zako baadae ukirudi ghetto usiku
Utakua umechoka utaenda kuoga maji si yapo Kwenye madumu[emoji23][emoji23] chukua ndoo kaoge
Ukishaoga si utakua na njaa utatumia jiko na vyombo kupika utakula utashiba
Sasa ukishashiba nini kinafuata? si kulala
[emoji23]
Kitanda neti na mashuka si yapo haya kalale[emoji23][emoji23]
Afu kabla hujalala weka simu charge,extension cable si ipo bhana
Sema dah ongeza na feni mjomba si unajua joto Kali (7)
Mpaka hapo umeshajua vitu muhimu vya kuanza navyo yani unapoamka mpaka unapoenda kulala umevitumia ni hivo
1:kitanda neti na mashuka
2:ndoo na madumu ya maji
3😛asi na extension cable
4:Vyombo
5:Jiko
6😛azia
7:Feni
Game over.....
Vingine vya ziada
Tv, subwoofer, sofa,coffee table,fridge,kabati..
Nawasilisha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]HAPO NI MWENDO WA KUT9MBA TUU TUUU AFYUU UKIKUTA DUUH MWENYWE MPENDA HIZO MAMBO NI MAMBO SHEREHEEE TUUUU ASEEEEEE. ASUBUI KULA MCHANA ANAPIKA NA KULIWA USIKU ANAPKA NA KULIWA HAPO MZEE BABA HUNENEPI UNAKONDAAA KISA KUT9MBA TUU BINTI WA WATU
Sasa si umtafute ukapashe kipolo mkuu [emoji23]aisee nilipata hio pisi ina pepo la ngono KIPINDI niko chuo.. yaani mda wote inataka, mpaka ikiwa kwa sku zake inataka.. but tuliachana kisa hio tabia.. ilifika kipindi ananinunulia energy ili usiku nisi lala tuwe tunagongana tu[emoji23][emoji23]....
daah yule dada alikua mwana maombi mwaminifu pale chuoni. basi kila sku alikua ana danganya a naumwa ili tubak tunagongana.. [emoji23][emoji23]
.....
daah nimekaukiwa mbususu mpaka nakukumbuka kelly wangu[emoji4]
Ndo inavyokuaga utamkumbuka Sana tu [emoji16][emoji16][emoji16] ulichezea bahati kuna kipindi unakaukiwa na warembo Hadi unaona Una mkosi.aisee nilipata hio pisi ina pepo la ngono KIPINDI niko chuo.. yaani mda wote inataka, mpaka ikiwa kwa sku zake inataka.. but tuliachana kisa hio tabia.. ilifika kipindi ananinunulia energy ili usiku nisi lala tuwe tunagongana tu[emoji23][emoji23]....
daah yule dada alikua mwana maombi mwaminifu pale chuoni. basi kila sku alikua ana danganya a naumwa ili tubak tunagongana.. [emoji23][emoji23]
.....
daah nimekaukiwa mbususu mpaka nakukumbuka kelly wangu[emoji4]
Wakina nani [emoji2]Wamekwisha[emoji16][emoji16]
Samaki
Ewaa formula ya kukariri tu unamaliza mchezo[emoji23]Umetisha mzee [emoji23][emoji119][emoji119]
Kelly nipo nae hapa ananichosha sana kila saa anautaka mti mkavu[emoji23][emoji23]aisee nilipata hio pisi ina pepo la ngono KIPINDI niko chuo.. yaani mda wote inataka, mpaka ikiwa kwa sku zake inataka.. but tuliachana kisa hio tabia.. ilifika kipindi ananinunulia energy ili usiku nisi lala tuwe tunagongana tu[emoji23][emoji23]....
daah yule dada alikua mwana maombi mwaminifu pale chuoni. basi kila sku alikua ana danganya a naumwa ili tubak tunagongana.. [emoji23][emoji23]
.....
daah nimekaukiwa mbususu mpaka nakukumbuka kelly wangu[emoji4]