Ulianzaje kukaa gheto?

Nimenunua Smart tv sijajua jinsi ya kutumia Digital, Analogue,na HDMI 1/ARC zina tumikaje ?View attachment 2413346
Digital ni SATELLITE tv station
Inamaana ukiunganisha ANTENA ya kawaida au DISH unapata mpk ALJAZEEEA na Station nyingine zA local bila kuhitaji KINGAMUZI

ANALOGY ni mfumo wa zamani ambao TANZANIA tushauacha labda mikoani
nI ule mfumo wa SHUNGUZA antena chengachenga kibao

HDMI/ARC
hii ni kwa ajili ya sauti
Mfano una SABWUFA (Lakini in support kwa SOUNDBAR au hizi latest SOUND SYSTEAM )
ninatumia mfano wa SABWUFA ili unielewe kwa urahisi ninachotaka kukufahamish
Mfano una SABWUFA moja
lakini wewe una vikololo vingi km PLAYSTATION VING'AMUZI VITATU DECK PC vyote umeingiza kwenye DISPLAY yako
lakini unataka ukitumia SAUTI iende kwe SABWUFA bila kuchomoachomoa na kutumi waya nyingi
Sasa unachukua CABLE ya HDMI unachomeka hapo kwenye HDMI/ARC na kisha unaenda unaenda kuchomeka kwenye SABWUFA yako ambayo pia iwe ina suport HDMI/ARC
Basi ukiwa unatumia chochote ambacho umeunganisha na TV basi sauti AUTOMATICALLY inaenda kwenye SABWUFA na unaenyoy mziki mnene

TV za kisasa nyingi hazina JACK ya Headphones au AUDIO OUTPUT
sasa zinakuja na OPTICAL au hiyo HDMI/ARC lkn hata hiyo OPTICAL ya zamani pia wameachana nayo


Sent from my SM-G935S using JamiiForums mobile app
 
Hapo nime kupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…