monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 830
- 1,449
Dah mkuu freemason tena😱 hapana supermarket vitu si bei kama unavyodhani halafu mimi ni wa pwani napenda sana ubwabwa😄😄Ww ni frimason aise..haiwezekani mchele supa kabisa wa supamaketi uuweke gheto 😅
HongeraMimi natumia desktop nimeconect na tv na nina movies kama 300 hivi na nyingi ni za 2021/22 karibu nikuwekee movies
Mkuu hiyo label sio nje ya kioo yaani ni kama movie nikibonyeza limote inaondoka kisha inaludi huwa inanikesa aisee ila sijui jinsi ya kuiondoa kwa remoteHiyo tv si ubandue label sasa...
Ni led smart sitaenyoy bando zimepanda mnoHongera
Tv yako smart or LED
Iko vizuriii mnoooooo.Me hiyo bei nimeipata juzi tu hapo…
Nimetamani kwelii
Apo uhifadhi vizuri maana ukiuweka ovyo utagandiana na kutengeneza vijidudu ambapo mpaka upike tena inabid uweke kwenye jua. Nakumbuka bimkubwa alikuwa anatia kwenye ndoo na anaweka kipande cha mkaa.
Btw hongera sana ghetto limecool mazaga yote ya maana unayo including Animation movies
Picha yake tuione iwe rahisi zaidi kuijuaAtafute pia Suave, ni 20k had 25k iko vizuriiii mnooo.
Niliwahi mskia mkaka ile harufu, nkamuuliza akanitajia na mie nkanunua ndo natumia kwa wingi sana.
Pand zp upoMimi natumia desktop nimeconect na tv na nina movies kama 300 hivi na nyingi ni za 2021/22 karibu nikuwekee movies
Umetisha sanaBaada ya uzi huu kunihamasisha hatimae na mimi nimehama home na hapa nimeandaa kitu cha chapati mayaiView attachment 2436940View attachment 2436939
Hiyo mifuko ni shingapi mkuuNina mzigo wa kutosha hapa dah sijui ndo uoga wa maisha[emoji2][emoji3]View attachment 2436995
Greed ilimzidiFOREX TRADING , mbaya kinoma. Majuzi msela jobless alikaushiwa 2 M yake ndani ya masaa ma2 tuuu
So ni bora kuanzisha biashara kuliko kujiunga na hii kitu aseeee
Tukianza kutupia na sisis pesa zetu humu hakutakalika[emoji1][emoji1] mpka unawaza siku chumba kikiungua moto sjui itakuaje hela zetuView attachment 2438712Geto bila fedha ni chumba cha kupanga
Tujitahidi kusave money yajayo yanafurahisha!
Naomba nidoweee account Netflix 🥰🤗Nilianza maisha ya ghetto 11/5/2022 nilikuwa na mkeka na ndoo za maji.Baada ya wiki mbili nikanunua godoro.Last week nimeongeza mazagazaga..Kitanda, showcase na tv na mazagazaga mengine.Mapambano yaendelee.View attachment 2439245
Unasave hela ndani??View attachment 2438712Geto bila fedha ni chumba cha kupanga
Tujitahidi kusave money yajayo yanafurahisha!
KariiibuNaomba nidoweee account Netflix [emoji3059][emoji847]
Mi natumia hiyo Ramz Lattafa, inanukia vizur mno kwa upande wangu.Ipi sasa unasemea blue for men au moussuf [emoji28][emoji28]
Weka bei na chimbo mkuu tukaisakeMi natumia hiyo Ramz Lattafa, inanukia vizur mno kwa upande wangu.
Ambaye anaijua ataisemea pia. View attachment 2439273
Hii niliagiza Zanzibar kwa hapa Dar najua zipo labda bei ndio inaweza kutofautiana, kwa Zenji ni 50, 000.Weka bei na chimbo mkuu tukaisake
Sawa mkuu ntaenda kuisakaHii niliagiza Zanzibar kwa hapa Dar najua zipo labda bei ndio inaweza kutofautiana, kwa Zenji ni 50, 000.
maana kule ni bei rahisi sana, kuna mtu namjua Anauza duka la manukato hapa Dar wenyewe wananunua kule kwa 9000 anauza huku Dar kwa 35, 000.