Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Apo uhifadhi vizuri maana ukiuweka ovyo utagandiana na kutengeneza vijidudu ambapo mpaka upike tena inabid uweke kwenye jua. Nakumbuka bimkubwa alikuwa anatia kwenye ndoo na anaweka kipande cha mkaa.

Btw hongera sana ghetto limecool mazaga yote ya maana unayo including Animation movies
emoji16.png

Atafute pia Suave, ni 20k had 25k iko vizuriiii mnooo.

Niliwahi mskia mkaka ile harufu, nkamuuliza akanitajia na mie nkanunua ndo natumia kwa wingi sana.
Picha yake tuione iwe rahisi zaidi kuijua
 
Weka bei na chimbo mkuu tukaisake
Hii niliagiza Zanzibar kwa hapa Dar najua zipo labda bei ndio inaweza kutofautiana, kwa Zenji ni 50, 000.
maana kule ni bei rahisi sana, kuna mtu namjua Anauza duka la manukato hapa Dar wenyewe wananunua kule kwa 9000 anauza huku Dar kwa 35, 000.
 
Sawa mkuu ntaenda kuisaka
 
Back
Top Bottom