Ulianzaje kukaa gheto?

Na vikao mnakaaga [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee unadhan wapangaji wakiwa wengi kinafuata nn vikao vya usengenyaji tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nashukuru sehemu niliyopo ni nzuri na inafaa kwangu, japo maumivu kwenye kodi. Woiiiiiiih.
 
Haswaaaaah!!! Yaan hapa nilipoooo niko safee mnoooo, afu napendwaaa, ndo last born wa hapaaa. Bas mie rohooo kwatuuuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatari sana nyumba za hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilivyo cna uvumilivu, mbna kila cku ni mshike mshike viwanjani.

Sasa kuepusha hilo ni boraa kukaa penye utulivu.
Kabisaaaa

Napokaa unaweza maliza week hujamgumua mtu face to face, ni utasikia geti linafungwa na kufunguliwa.

Ama mwenye gari anaingiza
 
Haswaaaaah!!! Yaan hapa nilipoooo niko safee mnoooo, afu napendwaaa, ndo last born wa hapaaa. Bas mie rohooo kwatuuuu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Last born wa sehemu raha sana, mlipa bill za luku na maji. Halafu wewe kwenye hesabu haumo kazi yako ni kusema tu umeme umeisha na bili ya maji imetoka. Ukijiongeza kufanya usafi ndo basi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kabisaaaa

Napokaa unaweza maliza week hujamgumua mtu face to face, ni utasikia geti linafungwa na kufunguliwa.

Ama mwenye gari anaingiza
Yaan haswaaaaa, hata hapa watu wako buzzy jaman, taarifa mnapeana tsup au text za kawaida. Uwiiiiiiih

Mie ndo roho kwatuuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwe na amaniii.
 
Wee mwenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mie mwanzoni nilikua mvivu sanaa,, ila baadae nkaona noope acha niwe napika, japo sio mara nyingi hvyooo.
Ah sina muda jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mara nazopikaga kwa mwezi zinaweza zisifike 10
 
Yaan haswaaaaa, hata hapa watu wako buzzy jaman, taarifa mnapeana tsup au text za kawaida. Uwiiiiiiih

Mie ndo roho kwatuuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwe na amaniii.
Baba mwenye nyumba kodi inamfata m pesa πŸ˜‚
 
Yaan nyumba ina wapangaji zaid ya 8 uwiiiiiih, si majanga haya, afu sasa wamama wa nyumban 5, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nilimuambia wee usinambie nije tena hapa, yaan hapo koridoni unasaalimia wee had unachoka.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapo ni kukaangwa hatariiii
 
Wee unadhan wapangaji wakiwa wengi kinafuata nn vikao vya usengenyaji tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nashukuru sehemu niliyopo ni nzuri na inafaa kwangu, japo maumivu kwenye kodi. Woiiiiiiih.
Nilipopanga wapangaji ni 8 kila mtu na nyumba yake, kila mtu anarudi usiku
Hakuna anayeongea na mtu
 
Last born wa sehemu raha sana, mlipa bill za luku na maji. Halafu wewe kwenye hesabu haumo kazi yako ni kusema tu umeme umeisha na bili ya maji imetoka. Ukijiongeza kufanya usafi ndo basi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hapa kila mtu na mita yake,ko umeme kila mtu anajitegemea, ila maji tunalipiaa kwa mwezi. Usafi yupo mtu maalumu kaajiriwa tunampa hela ya mwezi.

Ni appartment yaan, watu wa 4 tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…