Ulianzaje kukaa gheto?

Sasa watawezaje kutofautisha kitanda cha mninga/mkongo na ambacho sio? Ni nn utofaut wa mbao ya mninga na ambayo sio ya mninga kwa kuiangalia?
Tofauti ni bei, vitanda vya mbao imara mara nyingi huvikuti vime pangwa barabarani, we ukitaka kitanda imara nenda viwandani panapo tengenezwa fenicha muuzaji ana kwambia fenicha ya mbao hii bei yake ni hii, kitanda cha mbao imara 5 kwa5 si chini ya laki 6 na nusu, siku zote ukitaka kitu cha bei rahisi lazima uimara wake ni duni kitanda cha mbao cha laki tatu, mbili havi dumu na mara nyingi wana vipaka rangi.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Sawa sawa
 
Mkuu na vipi kuhusu vitanda vya chuma?
 
Nimeona mnaongelea vitanda. Namimi nimeona nishare aina ya vitanda navyopenda japo sijaona kama hapa bongo wati wakivishobokea. Hizi ni aina ya dream bed nayoikubali inaitwa FLOATING BED yan kitanda kinachoelea na kimuonekano ni kama kinaelea. Hebu kiangalie na wewe
 
Kweli mkuu leo nimeenda kiwandani kuulizia kitanda kizuri cha 5 kwa 6 vipo vya 1.5m cha bei rahisi ni 800k ila ukiviona ni vizuri balaa najipanga upya coz nilienda na budget ya 500k, mbao wanazotumia ni mninga na mkongo.
 
Demu anakutapeli tena?
 
Yani ukinunua utatumia mpaka wajukuu watavikuta bado vipo, sisi nyumbani mzee wetu alinunua vitanda vya mbao ya mmniga mpaka leo vipo kuna kipindi alikuwa ana tugaiya vitanda ili tukajitegemee

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…