mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Inaonekana wewe ni dhaifu sana,Atatoka mwenye nyumb anatakuwa ameikuta siuzi hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana wewe ni dhaifu sana,Atatoka mwenye nyumb anatakuwa ameikuta siuzi hiyo
Kheeeeee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?
Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
NoMaybe ali joke kidogo. No need for harsh words to our sister.
Ishanitokea hii.
Siku alipokuja shemeji yenu kibonge wakati wa harakati si kikashuka chini. Pwaaa!!
Yale mavitanda ya barabarani acheni navyo Bora vya chuma
Sasa sana Wanawake ndiyo wana pigwa sana, yani hawa jui haina ya mbao zilizo tengeneza kitanda wenyewe wakiona kitanda kimependeza wana nunua kwa bei kubwa bila kuangalia uboraKuna vijana wengi wanangalia decorations ya nje tu ya kitanda..nilichogundua wengi hawaelewi ni malighafi gani imetumika kutengenezea ,..
Wengi wanapigiwa Hapo .
ile siyo vanishi ni rangi ya kubadili mbao, mafundi wanatumia mbao za mti wa mwembe, mkungu, kutengeneza vitanda.Na ile vanish wanasiliba tope[emoji23],miezi tu tanda linatafunwa na mchwa,
Nilionaga pale buguruni maeneo ya spenco.
Ilishawahi kuinunua?Kingine wakuu.wale wanaoanza lyf ile mitanda mikubwa mikubwa ya barabarani mingi mibovu Sana hutoboi miez sita linaanza kunesea chini..so muwe makini Sana.
Videmu njaa vinaweza starehe tu na kuomba omba pesaNilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Alitaka kukutapeli kivip?Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Ushabadili ?Yeah niangalie,nahitaji kubadili kitanda,fundi alinitengenezea sivyo nilivyokitaka,
Hayo ya Instagram mengi ni famba, we jichange ununue your dream sofa bed bhana tena chenye uimaraUshabadili ?
Natamani yale ma sofa bed
Kila fundi nayekonektiwa nae ni bei nje ya umri 🤣 (1m, 850,
Fundi wangu wa vitu vingine akasema akipunguza sana mwisho mia6
Na wakati mavitanda nayaona istagram wanatangaza laki 2 na nusu 🥹
😁😁 mbona balaaHayo ya Instagram mengi ni famba, we jichange ununue your dream sofa bed bhana tena chenye uimara
Sema tuna tofauti, mi huwa siwazi kabisa kuhusu kubadilisha badilisha vitu,😁😁 mbona balaa
hiki nilichonacho ni cha 2020
Basi tu napenda kubadili badili vitu
Dream bed ya kuishi nayo kifamilia sasa aloo narudi kwenye mbao.
Hilo sofa bed nimetamani tu niwe nalo wakati huu wa usingle
eeeh njoo basi tuishi uku mabibo Nikupende nikupe na uwanja wangu.Inaonekana wewe ni dhaifu sana,
Kwan hapo anaishi mwenye nyumba?, hapo ni kapangisha na anapokea kodi. Ingekua nyumba yake au n mmiliki yeye aliyepost wala nisingesema, ndo maan nimemuuliza ina maana mwenye nyumba ameshindwa kukarabati?Dogo mind ur words, ukoo wako mzima wote mnakaa nyumba za tiles?
If so hongereni sana
Jaman mwenye nyumba ameshindwa hata kuziba hizo blocks kwa pluster ya cement? Mmmmh sasa anapangisha vipi hapo.Sometimes kuanza maisha sio poa, hasa baadhi ya maeneo ya mjini kama dar, arusha n.k, kupanga chumba chenye tiles na dari (mwonekano mzuri) ni gharama sana you can't afford it. So inabidi utafute vyumba vya bei nafuu ili ujipange, then mambo yakikaa poa unatafuta sehemu nzuri ya kipato chako.
So jamaa kajitahidi sana, sema apambane tu mishe zikikaa poa ahane hapo (mpaka zikae poa).
Money value is equal to quality and quantityKwan hapo anaishi mwenye nyumba?, hapo ni kapangisha na anapokea kodi.
Ingekua nyumba yake au n mmiliki yeye aliyepost wala nisingesema, ndo maan nimemuuliza ina maana mwenye nyumba ameshindwa kukarabati? Sasa anapangisha vipi?
Vitu vingine mbna viko wazi jaman.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa 250k, hayadumuuuuuuu, yanatoka kitambaa afu hayapendezi.Ushabadili ?
Natamani yale ma sofa bed
Kila fundi nayekonektiwa nae ni bei nje ya umri [emoji1787] (1m, 850,
Fundi wangu wa vitu vingine akasema akipunguza sana mwisho mia6
Na wakati mavitanda nayaona istagram wanatangaza laki 2 na nusu 🥹