Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?

Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kheeeeee!
 
Ishanitokea hii.

Siku alipokuja shemeji yenu kibonge wakati wa harakati si kikashuka chini. Pwaaa!!

Yale mavitanda ya barabarani acheni navyo Bora vya chuma

Vile vibovu wanatumia mbao za hovyo na wana vipaka rangi ili kuficha aina ya mbao na wanauza kwa bei kubwa kwa machoni utaviona vizuri kumbe vibovu, tatizo la vijana wa sikuizi hawa jui aina za mbao kuna mbao ngumu na imara na kuna mbao ambazo zina shambuliwa na wadudu.

Kama una pesa nunua kitanda cha mbao za Mninga au mkongo hivi vitanda vina pakwa vanishi na havipakwi rangi, ukiona Kitanda kime pakwa rangi husinunue mbao yake ni mbovu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vijana wengi wanangalia decorations ya nje tu ya kitanda..nilichogundua wengi hawaelewi ni malighafi gani imetumika kutengenezea ,..
Wengi wanapigiwa Hapo .
Sasa sana Wanawake ndiyo wana pigwa sana, yani hawa jui haina ya mbao zilizo tengeneza kitanda wenyewe wakiona kitanda kimependeza wana nunua kwa bei kubwa bila kuangalia ubora

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Videmu njaa vinaweza starehe tu na kuomba omba pesa

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Alitaka kukutapeli kivip?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Yeah niangalie,nahitaji kubadili kitanda,fundi alinitengenezea sivyo nilivyokitaka,
Ushabadili ?

Natamani yale ma sofa bed
Kila fundi nayekonektiwa nae ni bei nje ya umri 🤣 (1m, 850,
Fundi wangu wa vitu vingine akasema akipunguza sana mwisho mia6

Na wakati mavitanda nayaona istagram wanatangaza laki 2 na nusu 🥹
 
Hayo ya Instagram mengi ni famba, we jichange ununue your dream sofa bed bhana tena chenye uimara
 
Hayo ya Instagram mengi ni famba, we jichange ununue your dream sofa bed bhana tena chenye uimara
😁😁 mbona balaa

hiki nilichonacho ni cha 2020
Basi tu napenda kubadili badili vitu

Dream bed ya kuishi nayo kifamilia sasa aloo narudi kwenye mbao.

Hilo sofa bed nimetamani tu niwe nalo wakati huu wa usingle
 
Sema tuna tofauti, mi huwa siwazi kabisa kuhusu kubadilisha badilisha vitu,

Kitu pekee ninacho kizingatia ni my dream house yangu na ya wazazi, napambania wewe.

Nikiwa na godoro,jiko,vyombo, na tv/pc ya kazi,vitabu hapa huwa nahisi dunia nimeimaliza.
 
Dogo mind ur words, ukoo wako mzima wote mnakaa nyumba za tiles?
If so hongereni sana
Kwan hapo anaishi mwenye nyumba?, hapo ni kapangisha na anapokea kodi. Ingekua nyumba yake au n mmiliki yeye aliyepost wala nisingesema, ndo maan nimemuuliza ina maana mwenye nyumba ameshindwa kukarabati?

Sasa anapangisha vipi?

Vitu vingine mbna viko wazi jaman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes kuanza maisha sio poa, hasa baadhi ya maeneo ya mjini kama dar, arusha n.k, kupanga chumba chenye tiles na dari (mwonekano mzuri) ni gharama sana you can't afford it. So inabidi utafute vyumba vya bei nafuu ili ujipange, then mambo yakikaa poa unatafuta sehemu nzuri ya kipato chako.
So jamaa kajitahidi sana, sema apambane tu mishe zikikaa poa ahane hapo (mpaka zikae poa).
Jaman mwenye nyumba ameshindwa hata kuziba hizo blocks kwa pluster ya cement? Mmmmh sasa anapangisha vipi hapo.

Siko kwa mpangaji, niko kwa mwenye nyumba mie. Mnieleweeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan hapo anaishi mwenye nyumba?, hapo ni kapangisha na anapokea kodi.
Ingekua nyumba yake au n mmiliki yeye aliyepost wala nisingesema, ndo maan nimemuuliza ina maana mwenye nyumba ameshindwa kukarabati? Sasa anapangisha vipi?

Vitu vingine mbna viko wazi jaman.

Sent using Jamii Forums mobile app
Money value is equal to quality and quantity
 
Ushabadili ?

Natamani yale ma sofa bed
Kila fundi nayekonektiwa nae ni bei nje ya umri [emoji1787] (1m, 850,
Fundi wangu wa vitu vingine akasema akipunguza sana mwisho mia6

Na wakati mavitanda nayaona istagram wanatangaza laki 2 na nusu 🥹
Sasa 250k, hayadumuuuuuuu, yanatoka kitambaa afu hayapendezi.

Bora cha chuma au mbaooo, ila design we bombaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom