Ulianzaje kukaa gheto?

Hii ni kweli mkuu. Kitanda changu kinaliwa na wadudu na hata sielewi wametoka wapi na wameingiaje. Nikipata hela nabadilisha kwakweli. View attachment 2471899
Hili geto kama vle hii nyumba ilkuwa ya familia wakkamua kupangisha. Hii haikuwa room. Nawaza tu ila hpo hkuna choo ndani na vyumba vngne vna vyoo.
Sema limepata mpangaji[emoji109]
 
Amini kalipangilia vizuri kinoma tena kama upana ni mkubwa akigeuza bed(kama litatosha lakin) likae kiupana pembeni anatia sofa apo inakuwa unyama unyama tena
Yeah kabisa ila pia anaweza akatenganisha pande mbili akapata sebule na chumba kwa kutumia hata simple sliding doors kama hiyo kwenye picha
 
Hivi wenzangu mnalalia vitanda? [emoji1][emoji1] Mi nashindwa kwa kweli, mwaka wa pili sasa natimiza tangu nichomoke home, sijawahi kiwaza, wala kununua kitanda, nimeweka pallets, na zipo stable mpaka leo, by the way, sipendi vitanda vya juu

Picha tafadhali
 
Hili geto kama vle hii nyumba ilkuwa ya familia wakkamua kupangisha. Hii haikuwa room. Nawaza tu ila hpo hkuna choo ndani na vyumba vngne vna vyoo.
Sema limepata mpangaji[emoji109]

Mkuu choo kipo ndani humo humo upande wa kulia baada ya kitanda.
 
Hyo tv ni aina gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…