Ulianzaje kukaa gheto?

Sasa bwana mdogo inakuwaje mpaka unafika sekondari hujui kuandika eti? Au ni makusudi?? Maana naona umejirekebisha baada ya kushambuliwa?
Ahahahah unajua nini broo. Yaani mi nilikua nashuka as navyoshuka on sms. Sa naona kila mtu ananishambulia duh. Nahisi ni watu wa fasihi andishi nini ? Ila fresh nimejifunza kitu.

Kwa wote walionikosoa. Ila yule mkuu aliyesema nipo HKL dah
 
Ahahahah unajua nini broo. Yaani mi nilikua nashuka as navyoshuka on sms. Sa naona kila mtu ananishambulia duh. Nahisi ni watu wa fasihi andishi nini ? Ila fresh nimejifunza kitu. Kwa wote walionikosoa. Ila yule mkuu aliyesema nipo HKL dah
Ukiwa "unashuka on sms" si unaandika vizuri tu buddah! sasa yale ma X X X uliyatoa wapi!?

Anyway, wanasemaje hapo Kilwa! Unasoma tahasusi gani?? Mmefunga shule?
 
Ukiwa "unashuka on sms" si unaandika vizuri tu buddah! sasa yale ma X X X uliyatoa wapi!?

Anyway, wanasemaje hapo Kilwa! Unasoma tahasusi gani?? Mmefunga shule?
Dah ndo hivyo nishajifunza broo. Kilwa tupo fresh karibuni tu
 
Yap kwel ulipambana sana mkuuu..uo ndo uanaume....BAUNSA NAOMBA UTUTOLEE NJE WATU WASIOKUWA NA VINYWAJI....PESPI 1000 daah nimecheka...nmefrah pia
 
Aiseee umetisha kaka
 
Hongera sana mkuu
 
Hayo maisha ya choo hakina bati niliishi kigamboni pale,Basi unaamka asubuh uingie toilet ,unakutana na madem wmejaa njee mlangoni mwa Toilet wanafua,dah Yani uswazi bana
 
Aiseee
 
Hongera sana mkuu. Aiseeh mefurahi sana
 
You are hero....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…