Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hapo inawezakuwa anasoma HKL. Ila tatizo la kuandika hovyo linazidi kuwa kubwa TZ, hadi wakenya watatushinda kiswahili fasaha.
Binafsi nachefuka sana ..yaan nakerwaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo inawezakuwa anasoma HKL. Ila tatizo la kuandika hovyo linazidi kuwa kubwa TZ, hadi wakenya watatushinda kiswahili fasaha.
Nimeishia katikati next time jitaidi kuandika vziriJamn yaan huu uz kidg nimeuelewa xema tatizo kila mtu anasema ixhu ya mkopo je kama una huo mkopo..... Xema ipo vizur mi kutu kujiripua fasta tu sema ndo kwanz nipo advanc ila ki ukwel life la hom xi pend kiivyo. Xema kama kuaanz geto muxt hap hom nichukue kitanda nachkitumia pia kwa miez ya mwanzo ntakua na depend kwa mzee ila life ikichanganya aaaaaaaahhh mbeleeeeee....NAPENDA LIFE YA GETTHO
Dogo usirudie kuandika hivi ukiwa jf..uandishi huo peleka facebook au magroup yenu ya whatsapp.Jamn yaan huu uz kidg nimeuelewa xema tatizo kila mtu anasema ixhu ya mkopo je kama una huo mkopo..... Xema ipo vizur mi kutu kujiripua fasta tu sema ndo kwanz nipo advanc ila ki ukwel life la hom xi pend kiivyo. Xema kama kuaanz geto muxt hap hom nichukue kitanda nachkitumia pia kwa miez ya mwanzo ntakua na depend kwa mzee ila life ikichanganya aaaaaaaahhh mbeleeeeee....NAPENDA LIFE YA GETTHO
Amna nipo pre form one mkuuAisee kweli wewe upo advance dogo!
manengelo njoo uone mwandiko wa mdogo wako! 😂
Sawa mkuu kheri ya wewe uliyenishauri. Kuliko kuchekwa tu alafu ujui wapi umekosea. Alafu sijajua shida inakuja wapi . au nilicho kiandika hakisomeki ?Dogo usirudie kuandika hivi ukiwa jf..uandishi huo peleka facebook au magroup yenu ya whatsapp.
Nifundishe mkuu.We dogo upo advance na haujui kuandika asee?
DahAisee kweli wewe upo advance dogo!
manengelo njoo uone mwandiko wa mdogo wako! 😂
WTF [emoji33]Ndo gheto lako hilo mkuu?
Naam exactly.Siwezi mwaga mchele kwenye kuku wengi
[emoji23][emoji23]Bado nipo kwa Baba, na Baba yupo kwa Babu.
Malizia story hii mzee babaDah mi geto nlianza kukaa baada ya kukosa chumba chuo mwaka wa kwanza,basi nikawa sina jinsi zaidi ya kupanga,basi nkaanza na kitanda na feni tu then nkampa mwenye nyumba hela ya miezi sita,but siku nahamia tu nkawaza je ntakaa kujitegemea maisha yangu yote?au ntapanga then mwisho wa siku ntarudi home?kurudi home kiukweli nilikataa hivyo nikaanza hatua ya kwanza ya kujiandikisha masomo ya jioni chuoni(evening class)basi week ya kwanza nikaanza kitabu but huku mchana wakat nipo geto nkawa natoka kutafuta channel za kazi za kufanya,basi nkapata boda boda kwa siku 15 kwa mkaaba wa mwaka,nkawa napiga kila siku then jioni naingia chuo usiku mpka saa 7 ndo nalala huku nikiwa nahakikisha lazima nilale na 30 mpka 20,basi nilifanya hivyo kwa mwaka mzima huku boom likiwa linaingia na huku nikiwa nnaingiza hela hyo mpka zaidi per day,mwaka wa pili nakumbuka ndo nipo na mke wangu maana tulitoka ote high school na tukawa chuo kimoja hivyo mwaka wa 2,hela yake ya hostel akaitoa na mm nikatoa mara mbili ya ile akawa anazungushia kwenye biashara huku akiwa amehamia ninapokaa wakati huo nmehama zangu geto sasa nnachumba na baraza yenye kila kitu ndani.Basi biashara yetu ambayo tulikuwa most tunaifanya online pamoja na maofisini huku yeye akibase kwa vitu vya wanawake huku na mimi nikibase kwa wanaume basi nkawa nawasambaza watu na boda boda mchana wakati huo piki piki ikiwa yangu tayari.basi miezi mi 3 baadae dem akanasa mimba,so alivyoenda kwao likizo kumbka kwao nlikuwa sifahamiki,dah maza wake akashtuka kuwa dogo anamimba aliwaka kichizi na walimtisha mno ,huku wakitaka niende kuchukua mzigo wangu(means)mke wangu
[emoji119][emoji119][emoji122][emoji122]Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Vizuri! Umeshajirekebisha kwenye yale ma "X X X X" yako... bado una tatizo la "H" "I" na "A".Sawa mkuu kheri ya wewe uliyenishauri. Kuliko kuchekwa tu alafu ujui wapi umekosea. Alafu sijajua shida inakuja wapi . au nilicho kiandika hakisomeki ?
dah mkuu m mwenyewe nlipanga gheto nikachukua chumba na sebule, halafu siku ya kuhamia nikahamia na godoro, sofa la watu wawili ,pasi ya umeme na subwoofer.Nilipanga gheto nkalipa kodi ya miezi miwili nlikuwa sina godoro mwenye nyumba akinisaidia godoro, nikaanzia kulala chini. Ila saiv gheto limejaa
Nipo kwenye process za kumalizia nyumba yangu
safi sana...japo siwashauri watu wanaoanza maisha kuanza kwa style hiiii...nawambiaga waanze na Chumba cha chini kbsa haijalishi una sh ngapi mkononi kwakua unaanza maisha tena ni maisha yako peke ako Nawambiaga waanze na chumba hata kama kipo cha 5000 kwa mwezi aende...dah mkuu m mwenyewe nlipanga gheto....nikachukua chumba na sebule...halafu siku ya kuhamia nikahamia na godoro, sofa la watu wawili ,pasi ya umeme na subwoofer....kila nikipita sebulen ikawa inanipa hasira ya kutafuta .....sasa hv nmefanikiwa kuwa na kila kitu....
siku hizi kama una geto unatuonyesha Funguo halafu tunaangalia ni aina gani ya Funguo..Getho tamu sana,yaan baby anakuja ijumaa jioni anaondoka jpili jioni na gharama nazotumia n chache tu,nikinunua nusu ya nyama na tambi au mchele kilo moja na nusu we eat the whole weekend.... Home sirudi zaid ya kusalimia tu...
Taabu n kwa washkaj wanaoomba nao walete mademu zao getho kwangu ,yaan mashuka nifue mm half mchafue nyie jmn hii siikubali....tafuta getho naww.....
Kama una getho mwanangu onesha funguo
watu waloanza kuishi geto mapema/maisha ya kujitegemea mapema huwa nawaona kama WAHENGA hua wanajua vitu vingi sana...tena ukute yule alokaa maisha ya changanyikeni.Mimi nina 23 years now, nimeanza kuishi geto nikiwa na miaka 19, baada ya kupote ada ya chuo million 2 na nusu ila saiv maisha yanaenda vzr tu namshukuru Mungu kwa kupoteza hela nilikimbia kipigo cha mzeee baba