ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,120
- 5,352
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina mwanangu alihama home kibishi akaenda kupanga baada ya miezi Sita hivi geto likawa limeshakaa Poa. Oneday ilikua weekend akaenda club kujirusha alivyorudi night wakora wamevunja wakabeba kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa akaona isiwe tabu akarudi home. Haikupita hata wiki moja ankow akaja kuwatembelea na kumkuta jamaa home akamuuliza vip? Umekuja kusalimia akajibu hapana nimeibiwa. Anko Akamcheka sana akamwambia mwanaume akiamua kuanza maisha harudi tena home.
Mshkaji akaondoka akarudi getto kwake akatandoka mabox maisha yakaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app