financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahaaaa, mkuu umenichekesha mnoo, ukaona urudishe mpira Kwa kipa[emoji3] [emoji3] [emoji3] .Duh mimi nijaribu kupanga gheto moja hivi maeneo flani hapa mwanza nililipa kodi ya miezi minne,,lakini nikawa sina mchongo hata hela ya kula ikawa tiz,.nikawaza sana nikapata jibu kuwa hata yesu nae alirudi kwa baba yake,,,time hii niko na dogo tunakatia kitumbua.
Sent using Jamii Forums mobile app