Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Basi mwanaume nikafunga safari mpka kwao na usafiri wangu wa boda boda,mara ya kwanza kuniona walidhani syo mwanafunzi bali boda boda tu,dah sku hii siwezi kuikumbuka katika maisha yangu kwani nilizungukwa na famila ya watu kama 15 nikiwekwa kati but sababu mke wangu nlikuwa nampenda nkakubali mimba na kuelezea future yetu ukweni hope kwa jinsi nlivyokuwa naongea walitokea kunipenda mno hasa kwenye uchambuzi wa hoja na kuwajibu kwa ustaarabu japo kuwa walikuwa wananipump niongee pumba,mwisho wa siku naambiwa una malengo gani na mwanetu kidumu nkafunguka mbaba mkwe alitokea kunikubali mno mwisho wa siku akanambia mwanangu,kwa kazi hyo ya boda boda ni hatari ngoja tuone tutawasaidia vipi watoto zetu,nikaruhusiwa kuondoka nikiwa na furaha
Nakumbuka nmetoka kwenye pepa na mwenzngu nmempakia kwenye boda boda tunarudi zetu home babamkwe ananipigia simu jerry uko wapi nkamwambia,heb njoo swhemu flani wakati nashuka pale na mwanake anakitumbo namshusha huku namtania mzee alitoka chozi la furaha alivyokuwa anatuangalia,nikaonyeshwa gari aina ya ist,that time ndo ubber imeingia tz,akanambia hii ndo gari nliyowapa but kwa sharti la kuniletea kila siku elfu 20 then baada ya mwaka litakuwa lenu,basi nkachukua piki piki nikaifunga sehemu na kuiweka lock then nkachukue ndinga na wife mpka tumapokaa then baadae nkaifata piki piki mpka kule then nkaileta home.
 
Hongera sana kaka...mambo yalikuja kua kama zari naona

Getho tamu sana,yaan baby anakuja ijumaa jioni anaondoka jpili jioni na gharama nazotumia n chache tu,nikinunua nusu ya nyama na tambi au mchele kilo moja na nusu we eat the whole weekend.... Home sirudi zaid ya kusalimia tu...
Taabu n kwa washkaj wanaoomba nao walete mademu zao getho kwangu ,yaan mashuka nifue mm half mchafue nyie jmn hii siikubali....tafuta getho naww.....
Kama una getho mwanangu onesha funguo
 
Hahah mkuu naona umeongea ki MMU kabisa...kwel geto tamu..

Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizidisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya Mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwingine nikimsambazia na yeye.

Mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu.

Nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa kusema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitunza na kutununulia zawadi ya kiwanja huku nasi tukiwa na vingine vitatu

Hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nina degree yangu ya first class
 
Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
So kupitia mimi hope mtajifunza vijana wenzangu kuwa endapo utalitumia vizuri basi hakika maisha yak yatabadilika.pia la mwisho ni kumtafuta mwenza mwenye maono ila uiangukia kwa kwa hawa makahaba wa mjini utaishia kuhangaika mwisho wa siku unarudi nyumbani ukiwa na miaka 40,bila kufanya lolote
Jerrybanks
 
Boss naamini mimi na wengine tumepata kitu kweny story yako...haikua rahis ila you made it bro..Asante kwa kushare nasi kaka
Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
 
Asante sana kaka..nmejifunza mengi kwako
So kupitia mimi hope mtajifunza vijana wenzangu kuwa endapo utalitumia vizuri basi hakika maisha yak yatabadilika.pia la mwisho ni kumtafuta mwenza mwenye maono ila uiangukia kwa kwa hawa makahaba wa mjini utaishia kuhangaika mwisho wa siku unarudi nyumbani ukiwa na miaka 40,bila kufanya lolote
Jerrybanks
 
Kufupisha story ni kwamba gari ile niliifanya uber kipindi hicho ndo uber imeanza hope nilizisha mapambano kwani nlikuwa nahakikisha nalaza laki kila siku ya mungu na wife wakati yupo na ujauzito mkubwa akaajiri mtu wa kusambaza vitu vyake kwa wateja huku na mimi nikisambaza vyangu kwa gari huku wakati mwengne nikimsambazia na yeye,mwisho wa siku nilifungua duka ambalo wife baada a kujifungua akawa ndo msimamizi na pia deni la mzee la 20k kila siku nililitimiza na mwisho wa siku gari ikawa yetu,nakumbuka siku ya harusi babamkwe akatupa kiwanja kwa ksema altupa mtihani wa kujinunulia wenyewe means ile hela tulokuwa tunampa kila siku aliitu za na kutununulia zawadi ya kiwanja huk nasi tukiwa na vingine vitatu hiyo ndo story yangu ya geto ambayo imenipa mke na nyumba ambayo naimalizia now,watoto wangu mapacha,pamoja na gari 3,maduka na biashara nyingine na kunifanya nisahau kuajiriwa japo nna degree yangu ya first class
Aisee balaa sana we jamaa ..!!
 
Daaa mm now npo gheto ila mzee mpaka leo hapend niwe gheto yaan nmetoka kibishi sana yaaan kwa tabu sana...kiukwel ukiwa nyumban akili yako haitanuk coz unakuwa KKB(kula kulala bure) so unakuwa huwaz jins gan ya kutoboa ila ukiwa gheto akili inatanuka sana utawaza jinsi gan utapata hela ya kula,utawaza jinsi gan utalipa bills,kodi na kadhalika yaan kichwa kinapata moto sana
 
Nmeliona hilo mkuu..muda mwingine hata ukiwa na hela wakati upo hom unaweza itumia vbaya...ila ukiwa geto utaona kuna vitu geto linamiss na hela yako utaitumia kununua vitu vya msingi...umetisha kaka
 
Mimi mwaka 2015 baada ya kushindwa kulipa ada chuo xyz ilinibidi nisimame masomo, nakumbuka nilikaa home kama mwezi mzima hv niko ndani tu, niliwaza mengi sana, siku nisiyoikumbuka nilitoka nikaenda kutafuta kibarua, ndio ikawa mazima mpaka kesho, kibarua nikapata baada ya mda nikaacha nikaanza mishe zangu mwenyewe,

Safari ya ghetto ndipo ilipo anzia
 
Mazima ikawa mazma mkuu[emoji16][emoji16]..
 
Back
Top Bottom