Aisee,Naenda navyo kwa mume.
Hapo sawa,simple ni kagawa tu maana ni akiba eti eeeh[emoji16]Naenda navyo kwa mume [emoji6]
Kama kwa mume vipo vya kunizidi narudisha kwetu/ nagawa kwa ndugu wa karibu.
Kwamba ukiachika uwe na vianzio 🤣Hapo sawa,simple ni kagawa tu maana ni akiba eti eeeh[emoji16]
Kwamba mwanaume sio ndugu yako[emoji16]Kwamba ukiachika uwe na vianzio [emoji1787]
AiseeKwamba ukiachika uwe na vianzio 🤣
Mgongo lazima uumieAsee hv unawezaje?? Mm nikilalia godoro zaid ya moja naamka nimechoka kinoma yan!!!
Tena ukiondoka navyo wanakasirika kabisa as if alitoa hela ya kununulia vile.Kwamba mwanaume sio ndugu yako[emoji16]
Unaweza nenda navyo na ukagomewa kuondoka navyo[emoji23][emoji23]
Hawa watu hawa wanabadilikaga wanakuwa kama chui[emoji23]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kama kwa mamako panaruhusu endelea kubakia hapo. Kujitegemea sio sifa kama huna uhakika wa kipato.
Huko sio juu tena bali ni ghorofaniBinafsi napenda kulala juu juu magodoro mawili Dodomia[emoji123][emoji3059]View attachment 2472940
Daah hapa siwezi pata usingiziBinafsi napenda kulala juu juu magodoro mawili Dodomia[emoji123][emoji3059]View attachment 2472940
Sana,si wanapenda mkiachana wakuone unateseka na maisha[emoji16]Tena ukiondoka navyo wanakasirika kabisa as if alitoa hela ya kununulia vile.
Aisee mie napenda hivyo,usingizi mororo[emoji7]Daah hapa siwezi pata usingizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko sio juu tena bali ni ghorofani
Hapo labda niwe na mwenzangu ndio ntalalaAisee mie napenda hivyo,usingizi mororo[emoji7]
Please Can u xplain more?Geto sawa Ndugu Zangu ila kuna hili Jambo linaitwa “Digital Nomad”
Ukiweza kufanya kazi remotely ni hatua moja ya ku travel the world.
Kwanini wote tuwe tunaishi kwa system iliyopangwa what if ukiwa unataka kuzurura kwanza kabla ya ku settle
Hicho cha bluu/ chekundu ni nini?Huu ni mpangilio mzuri wa chumba. TujifunzeView attachment 2498510