Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Tena ukiondoka navyo wanakasirika kabisa as if alitoa hela ya kununulia vile.
Sana,si wanapenda mkiachana wakuone unateseka na maisha[emoji16]

Binafsi kwa mume sitimbi hata na kijiko,nitanunua nikiwa kwake.
 
Geto sawa Ndugu Zangu ila kuna hili Jambo linaitwa “Digital Nomad”

Ukiweza kufanya kazi remotely ni hatua moja ya ku travel the world.
Kwanini wote tuwe tunaishi kwa system iliyopangwa what if ukiwa unataka kuzurura kwanza kabla ya ku settle
Please Can u xplain more?
 
Huu ni mpangilio mzuri wa chumba. Tujifunze
Screenshot_20230128-105702_1674892976374.jpg
 
Back
Top Bottom