Ulianzaje kukaa gheto?

Ah Twin tub zinaharibu nguo
Kwa kaka angu ipo
Wameacha kuitumia yan

Sijui nzuri ni ipi?
Labda zile za front nn sijui
Kama ya kina Chaliifrancisco
Nchi zilizoendelea zote hutumia mashine kufua nguo

Tatizo letu ni twaweka nguo mchanganyiko

Sabuni twatumia zenye kemikali sana

Pia twaanika juani

Front load/ Upper Load/ Manual, Semi Auto, Auto zote ziko sawa tatizo ni sisi na sabuni zetu
 
Najua kuna sabuni zake
Na inasemekana ziko expensive
Ya kwa bro.. ukiweka nguo yenye vifungo au maurembo urembo,, utakuta yametoka

Front load me ndio nazielewa
 
Kupanga vtu kwa mpangilio nipo vzuri ila kufua shuka sasa ndio tatzo
Unafeli kijana me mwenyewe kufua changamoto kwa sabab sina mandoo/mabeseni mengi so nachofanya kuna manzi yupoyupo tu kitaa nampoza buku5 nampa majeans,mashuka/blanket na tshirt me napambana na boxer tu jion anafulia apaapa anaanika biashara inaisha.
 
Najua kuna sabuni zake
Na inasemekana ziko expensive
Ya kwa bro.. ukiweka nguo yenye vifungo au maurembo urembo,, utakuta yametoka

Front load me ndio nazielewa
Toka 2005 Mwanza hadi leo hazijawahi haribika.

NB: saa zingine nguo hutoka hazijafuliwa vizuri sana sana kama utachanganya jeans na nguo zingine
 
Toka 2005 Mwanza hadi leo hazijawahi haribika.

NB: saa zingine nguo hutoka hazijafuliwa vizuri sana sana kama utachanganya jeans na nguo zingine
Sasa mf
Kwa week 2 umechafua t shirt 10 za rangi..
Kijivu, white, blue, black nk
Unafuaje?
 
Mm sina nguo nyingi chief...kesho ntajitahidi nifue mapema saa 11
Unafeli kijana me mwenyewe kufua changamoto kwa sabab sina mandoo/mabeseni mengi so nachofanya kuna manzi yupoyupo tu kitaa nampoza buku5 nampa majeans,mashuka/blanket na tshirt me napambana na boxer tu jion anafulia apaapa anaanika biashara inaisha.
 
Mkuu ushasema anakusaidia sana basi shikilia hapo

Kunasehemu nimesema na nasema hapa tena
Wanawake ni good financial
Wanajua kutunza na kutembea na budget

Me nowadays natumia hadi 7000 per day
Wakati ningekua na mwanamke nyumbn sidhani kama zingefika hizo

Ni vile hawa viumbe hua hatuwapati wale wanoenda na malengo yetu
Ila ukimpata mbona utakamilisha ndoto mapema tu
Nakumbuka [mention]Analyse [/mention] aliwa comment kitu juu huko kuhusu hili
 
Analyse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…