Mdeki maghetto hayo
Mfue
Mpange vitu kwenye mpangilio
Kwanini hupendi?Siwez kulalia shuka 4+ days bila kufua never
Yaan kama kuna kitu napenda ni pale nnapoweka mbavu zangu
Sipendi mtu aje getto afu akae kitandan Yaan SIPENDI
Ulitag vibaya.. nimefanya kurudia tuJamaa aliwah toa shuhuda nakumbuka
Kwanini hupendi?
Ukiwa na chumba na sebule chief ndio inakaa poa sana..Unakuta mtu anekaa kwenye mavumbi
HChini afu uyooo kitandan
Au unakuta mtu kazululaa wee jashoo zoote anakuja nazo kitandan
Noooh yaan hapana
Wee kaa tu kwenye sofa
Tatizo masela wakija tucheze ps hupenda kukaa kitandan sababu uelekeo wa tv unaangalia mbele
Kun mda nlianza had tafuta tv stand zile za kuzungusha
Ukiwa na chumba na sebule chief ndio inakaa poa sana..
Mm mwenywe napenda sana ninapolala paee fresh na pasionekane..
Tatzo ni hali zety za uchumi tunakaa single self room
Hupaswi changanya nguo nyeupe na nyingineSasa mf
Kwa week 2 umechafua t shirt 10 za rangi..
Kijivu, white, blue, black nk
Unafuaje?
HeeeHupaswi changanya nguo nyeupe na nyingine
Hupaswi changanya denim na polyster/cotton
Hupaswi changanya nguo zenye kuchuja na ambazo hazichuji
Mkuu nisaidie aina ya tv na bei yake please
Npo mahali ..dj anarudia sana huo wimbo wa mahaba wa ali kiba
Hyo TCL inch 40 bei gan
Ni mzuriNpo mahali ..dj anarudia sana huo wimbo wa mahaba wa ali kiba
HAta sijauzikiliza vzuri nimeanza kulewa lewaNi mzuri
Kiba anajitahidigi
Za uchumi wa kawaida hizi πMkuu nisaidie aina ya tv na bei yake please
πππ usikilize ukiwa soberHAta sijauzikiliza vzuri nimeanza kulewa lewa
Sjakuelewa ππππ usikilize ukiwa sober