Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

IMG_8550.jpg

Dady chilling home[emoji1][emoji1]
Cc[mention]Walec [/mention]
 
Kwanini hupendi?

Unakuta mtu amekaa kwenye mavumbi
Chini afu uyooo kitandan
Au unakuta mtu kazululaa wee jashoo zoote anakuja nazo kitandan
Noooh yaan hapana
Wee kaa tu kwenye sofa
Tatizo masela wakija tucheze ps hupenda kukaa kitandan sababu uelekeo wa tv unaangalia mbele
Kun mda nlianza had tafuta tv stand zile za kuzungusha
 
Unakuta mtu anekaa kwenye mavumbi
HChini afu uyooo kitandan
Au unakuta mtu kazululaa wee jashoo zoote anakuja nazo kitandan
Noooh yaan hapana
Wee kaa tu kwenye sofa
Tatizo masela wakija tucheze ps hupenda kukaa kitandan sababu uelekeo wa tv unaangalia mbele
Kun mda nlianza had tafuta tv stand zile za kuzungusha
Ukiwa na chumba na sebule chief ndio inakaa poa sana..
Mm mwenywe napenda sana ninapolala paee fresh na pasionekane..
Tatzo ni hali zety za uchumi tunakaa single self room
 
Hupaswi changanya nguo nyeupe na nyingine

Hupaswi changanya denim na polyster/cotton

Hupaswi changanya nguo zenye kuchuja na ambazo hazichuji
Heee
Sasa ukitenganisha zikabaki chache inakuwaje?
 
Back
Top Bottom