Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mzee uko pande gani, naeza saidia ukapata hata godoro la kukusogezaWanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!
Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.
Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana
Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.
Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.
So tukomae wauni mademu sio watu