Ulianzaje kukaa gheto?

Mzee uko pande gani, naeza saidia ukapata hata godoro la kukusogeza
 
Mtaalamu wa lugha 😀😂, I see yah bro
 
Wakuu, naomba kuuliza.
Kwa mtu anayeanza kuishi geto anatakiwa kuwa na angalau kiasi gani cha pesa ili kuanza from the beginning.?
Na hesabu za hizo pesa azipangilie vp.?
Mkuu Kikubwa Anza na Kodi ya miezi 3, godoro la kishkaji tu.
👉Gesi au mkaa Kama uko mkoani.
👉Debe la unga ni 20 k- Dona una pata kg 18, sembe kg 12
👉Sado ya dagaa 7000, nyanya sado 2000 - nenda kule sokoni kwa Bei ya jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…