Njoo tuangalie TvHuu uzi haukupaswa kupoa
Hujawah tuma sebule tuioneNjoo tuangalie Tv
Lexus Suv unakosaje 20k kakaNipp gheto moshi pesa yote imeisha kwa kodi tuu nililipia jana , naombeni mnikopeshe hata 20,000 , tuu ntamrudishia aftet 1 week aliyrnikopesha
Unalipiwa kodi alafu unataka kumuachaa Boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee hatari snaa pole jamaa...!!Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!
Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.
Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana
Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.
Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.
So tukomae wauni mademu sio watu
Huyo wakumpeleka Gaza akili imrudi😅Unalipiwa kodi alafu unataka kumuachaa Boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaota mapembe[emoji23][emoji23]Mkuu mbna uyo wife material kabsa Fanya umuoe tu
Mjeda vp bdo anazngua kwa demu wako [emoji3][emoji23][emoji23]am on fleek mr its my time to give them sparks of english
bado anamsumbua ila sio sana sa sjui kashalegeza kamba uyu demu maan daha jau hawaeleweki hawaMjeda vp bdo anazngua kwa demu wako [emoji3]
Kuna mmoja huyo yupo Tanga bac kila kukicha ni simu napigiwa et anataman aje tuishi wte,hii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
Mtoto wa kike baba yko hawezi kukuacha hvhv uje mtaani wahuni tukuharibie maishaNilichoka kutoroka home kufatilia kitu kimoja kila siku, nikaamua liwalo na liwe nikapanga chumba tabata.
Mzee alivyosikia akaja kubeba vitu vyangu vyote akarudisha home [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilichoka kutoroka home kufatilia kitu kimoja kila siku, nikaamua liwalo na liwe nikapanga chumba tabata.
Mzee alivyosikia akaja kubeba vitu vyangu vyote akarudisha home [emoji1787][emoji1787][emoji1787]