Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

hii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
Unalipiwa kodi alafu unataka kumuachaa Boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanangu wa gheto eeeh
KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!!

Simama wewe kama wewe.
Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae.

Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana

Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee nimeondoka nimemuachia kila kitu.

Asaivi nalala chini Sina Cha godoro Wala Nini Nina nguo tu na pumbu mbili.

So tukomae wauni mademu sio watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee hatari snaa pole jamaa...!!
 
hii mwenyew imenikuta, kuna manzi alinielewa akawa anatamani kuishi na mimi kila sik anapiga sim anadai kunipenda, alikua akiishi mbali kidogo na kwao adi akadanganya kapata kazi mjini akaja geto kweli alijipambania akapata kazi restaurant moja iv
me nikawa nahofia atakua mzigo kweli tuliish ishi miez kazaa kama 4, Geto nilikua na mazaga zaga kibao nipo full nikawa kama nimemchoka nikaanza kumtafutia makosa nimuache si kaniletea balaa anasema kama nataka kumuacha basi nimwachie tv na kabati langu kapigana kabisa na kunijazia inzi ad balozi wa mtaa kaja kumamae.
nimeamua tu niishi nae mana alikua kanilipia kodi miezi mitatu nyuma nahisi ndo kilicho muuma kutaka kumwacha
Kuna mmoja huyo yupo Tanga bac kila kukicha ni simu napigiwa et anataman aje tuishi wte,

mwngne huyu yupo shinyanga nae mwanzo aliniganda km kupe akitaka nimkaribishe Dar aje tuishi wte nikamchinjia baharn kmykmyaa,

Hawa viumbe ukimkarbisha tu unalo mjuba tuweni makini tu tamaa tuache,
 
Nilichoka kutoroka home kufatilia kitu kimoja kila siku, nikaamua liwalo na liwe nikapanga chumba tabata.
Mzee alivyosikia akaja kubeba vitu vyangu vyote akarudisha home [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto wa kike baba yko hawezi kukuacha hvhv uje mtaani wahuni tukuharibie maisha
 
Nilichoka kutoroka home kufatilia kitu kimoja kila siku, nikaamua liwalo na liwe nikapanga chumba tabata.
Mzee alivyosikia akaja kubeba vitu vyangu vyote akarudisha home [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom