Ulianzaje kukaa gheto?

unga 25kg wa nini sasa ndugu tena sembe
 
Kwanini mkuu?
Kwa mfano now Mimi nakaa nyumbani kwa kina mshikaji wangu mwezi wa sita saizi. Najichanga pesa ikifika laki mbili au tatu nikitaka kupanga roho inagoma,

Nawaza, Hivi itakuwaje nipo Geto halafu mazingira ya kupata pesa yakawa magumu, maana kazi zetu hazieleweki.


Nawaza maana siwezi kurudi home na nikiondoka kwa mshikaji ndio niondoke mazima maana hakuna kurudi nyuma.

Ila nimechoka Sana stress za kukaa kwa watu.
 
hii situation ni noma sana;
sema kama uko na kazi kapange mkuu
 
Ghetto ambassador 😎

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Wakuu habari ni mwaka na nusu Sasa nalala chini.. sina Kitu Ndani zaidi ya PC Meza ya kusomea jiko la gasi (taifa gasi)na pazia.

Nimepitia msoto Sana Hali mpaka nilikaribia kutaka kujiua Ila nilipata counseling kubwa kutoka Kwa bro mshana jr imenifanya kuwa strong mpaka Sasa japokuwa kuna mambo makubwa amenisaidia siwezi kuweka hadharani.

Sasa katika harakati za bajaji nimefanikiwa kumaliza mkataba wa bajaj kabisa na imekuwa ya kwangu kabisa.

Nilikutana na masaibu mengi Sana mpaka nikasimamisha masomo (postpone)
Ila mwaka huu nimerudi chuo naendelea mwaka wa tatu na nimepata boom milioni moja laki moja na elfu tisini na Tano mana yameunganishwa maboom mawili.

Nimepitia msoto wanangu na supporter mkubwa ni mama yangu mzazi yeye ndio kila kitu kwenye Maisha yangu elimu nk

Sasa sitaki kukosea makosa nataka kupitia nyinyi mniweke sawa Ila nisije kujilaumu hapo baadae.

Gheto nataka kununua vitu vifuatavyo
1.Godoro QFL inch 8 240k
2.kitanda bed sofa 300k
3.feni 60k
4.mult cooker 120k Kwa ajili ya kupika maharage nyama nk Pia unaweza kupika hata ugali mana sipendi kula kabisa hotelini
5.meza ya kupika 100k

Ukipiga hesabu za haraka hapo nakuwa nimemtumia laki Saba na elfu sitini 760000/=

Kwenye 1.195m nakuwa nakuwa nimebaki na laki nne na elfu thalasini na Tano 435000/=

Hii nataka kuiweka UTT amis kama saving YANGU Tena ikiwezekana niweke hata 500k kama akiba mana Hapa dar sina ndugu na mama yeye ndio kila kitu.

Mpaka hapo mnanishauri Nini wakuu??
Nataka kumnunulia Maza smartphone hata Infinix zile macho matatuπŸ˜‚ Ila nataka Ela itoke kwenye Bajaj Ila Sio akiba hiyo

Sasa najiuliza atanielewa? Mana amewekeza Sana kwangu Nina appreciate Sana mchango wake.

Wakuu nimelala chini mwka na nusu nikipambania mikataba wa Bajaj now Nimemaliza nimerudi chuo na Bajaj tayari YANGU

Naombeni ushauri wenu wananangu
Mwisho kwenye harakati za utafutaji unaweza kupitia wakati mgumu mpaka ukahisi una Nuksi kumbe hakuna ni mifumo tu...

Karibuni
 

Bed sofa USINUNUE neverr usijaribu vina muonekano mzuri ila sio imara yan mdebwedo nunua kitanda cha mbao imara kwa bajeti yako 300k unapata kizuri tu ukinunua bedsofa baada ya muda utarudi tena kulala chini
 
Mkuu nataka kuingia kwenye hii biashara ya kusafirisha abiria kwa bajaj hebu nipe mwongozo
 
ILE UNA KAA USWAHILINI SELF JOBLESS GRADUATE........SEMA WANAWAKE WENGI KISENGE..... SASA WEEE KUZAMISHA MDADA WA KUMTIA HUNAGA TIME................HAO MAJIRANI WANAWAKE WANA KUNANGA............. MARA EHEEEEE MARA HAHAHAHA................................... NYETO MASTER..................................................






VIPI WAZEE... KWA WALIO ISHI USWAHILINI........ NA MKIWA NA MADEMU WAKALI........

MLIWEZAJE KUWA SHAWISHI MADEMU ZENU WAWA TEMBELEE USWAHILINI MLIKO PANGA..................


MAAANA NISHAWAI ISHI USWAZI....................SASA KUMUITA PAULA KAJALA WANGU AJE USWAZI NILIKOPANGA NIMTIE NAONA KUCHOMESHANA MISHKAKI......................SO NI KUPIGA BUYU ...KAMA MAJI KWENYE MTUNGI.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…