Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
We jamaa jobless wakitambo toka ajira zile za kupeleka CV feri tulikuwa wote hadi Leo mimi nimekuwa tajiri 😆😆JOBLESS GRADUATE SELF EMPLOYED
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa jobless wakitambo toka ajira zile za kupeleka CV feri tulikuwa wote hadi Leo mimi nimekuwa tajiri 😆😆JOBLESS GRADUATE SELF EMPLOYED
Sheria kama zipi?Wadau ndio nimeingia geto langu juzi nimeshindwa sheria naama landlord kasema ananirudishia pesa 😂
unga 25kg wa nini sasa ndugu tena sembeSikia niku shauri, coz nime toka huko Mzee.
01)Tafuta godoro lako 5*6
02,Gesi mtungi mdogo oryx(complete 45) sija jua huko.
03, chakula Anza na mfuko wa sembe kg 25,
04, mchele kanunue kilo hata 30, jifanye muuza duka una tafuta wa Bei ya jumla.
05, shuka, neti,
Hapa una ishi fresh kabisa, hizo mbwembwe Kwa kijana anae Anza simshauri kabisa.
Sheria gani zimekushinda mkuu 😀Wadau ndio nimeingia geto langu juzi nimeshindwa sheria naama landlord kasema ananirudishia pesa 😂
Hajui kuwa unaweza tengeneza wadudu.unga 25kg wa nini sasa ndugu tena sembe
Masuala ya mademu na mlango kufungwa mapema nkSheria gani zimekushinda mkuu 😀
Kwanini mkuu?Kupanga kunaogopesha
Kwa mfano now Mimi nakaa nyumbani kwa kina mshikaji wangu mwezi wa sita saizi. Najichanga pesa ikifika laki mbili au tatu nikitaka kupanga roho inagoma,Kwanini mkuu?
hii situation ni noma sana;Kwa mfano now Mimi nakaa nyumbani kwa kina mshikaji wangu mwezi wa sita saizi. Najichanga pesa ikifika laki mbili au tatu nikitaka kupanga roho inagoma,
Nawaza, Hivi itakuwaje nipo Geto halafu mazingira ya kupata pesa yakawa magumu, maana kazi zetu hazieleweki.
Nawaza maana siwezi kurudi home na nikiondoka kwa mshikaji ndio niondoke mazima maana hakuna kurudi nyuma.
Ila nimechoka Sana stress za kukaa kwa watu.
Ghetto ambassador 😎Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea.
Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi anasubir kazi, halafu kazi zenyewe haijulikani utapata lini.
Hii inapelekea wana wengi kua na fear ya kuchomoka home. Kiukwel hali ya kukaa hom inakata sana..Mzee unakuta anachomoka anakuachia mikazi flani hivi howcome.
Ukija upande wa MMU ndio mambo yanakua sio mambo, mtoto anataka aje kukusalmia unaona soo kwasababu upo nyumbani, inakata sana hii
Tukija kwenye maisha ya kujituma tu. Sometime unakosa hamasa ya kupambana kwasababu ugali wa bure, unalala bure, kila kitu bure. Hii inakua ngumu kuwaza kwa mapana ili kuanza kukamilisha dream zako..
Pia inakata sana. Pale wanao unakuta wapo na mageto yao. Lakini wewe kwako ni tofauti.
Sasa naomba kila mmoja aseme alichomokaje home na kuanza kukomaa na maisha..Achilia changamoto zake kikubwa hapa ni kusepa kwa maza.
Mimi binafsi gheto nilianza kukaa soon nilivyoingia chuo, nakumbuka nilipata room ya elfu 50 nikaanza nayo kibishi, nikanunua bed ya 150, 5 kwa 6, nikatafuta feni tu ya elf 35..si unajua joto la dar..nikaingia k.koo nikavuta subwoofer ya elf 75 tu, gheto bila mziki sio geto ni choo, kujicheki mfukoni boom likawa lishakata, basi nikaendelea kuishi geto hadi namaliza chuo gheto likawa limesheheni tu.
sasa baada ya kumalza chuo. Ndio nikarudi home ujinga niliofanya ni kurudi home na baadhi ya vitu niliviuza. Kasheshe ndio ipo saa hizi. wakuu home akili inalala, vibe yote hakuna, hapa ndio najichanga nichomoke tena nirud geto nianze kupambana. hope ndani ya huu mwaka nitakua nishasepa hom kwa mara nyingine.
Sasa share kitu basi nawewe.
Nini lilikusukuma usepe home?
Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
Maisha yalikuaje since day one?
Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi geto
Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?
Karibuni wakuu.
Duh kuna mafundi wazuri wa taa Tv za mchina hizo 😂Nili ishi nayo kijerumani, Sema Baadae Nika wapa home.
Waka tumia kidogo, nao Waka iweka store.
Ko upo nyumbani kisa papuchi kazi kwelkwelYes! Bado nipo nyumbani mkuu.
Wakuu habari ni mwaka na nusu Sasa nalala chini.. sina Kitu Ndani zaidi ya PC Meza ya kusomea jiko la gasi (taifa gasi)na pazia.
Nimepitia msoto Sana Hali mpaka nilikaribia kutaka kujiua Ila nilipata counseling kubwa kutoka Kwa bro mshana jr imenifanya kuwa strong mpaka Sasa japokuwa kuna mambo makubwa amenisaidia siwezi kuweka hadharani.
Sasa katika harakati za bajaji nimefanikiwa kumaliza mkataba wa bajaj kabisa na imekuwa ya kwangu kabisa.
Nilikutana na masaibu mengi Sana mpaka nikasimamisha masomo (postpone)
Ila mwaka huu nimerudi chuo naendelea mwaka wa tatu na nimepata boom milioni moja laki moja na elfu tisini na Tano mana yameunganishwa maboom mawili.
Nimepitia msoto wanangu na supporter mkubwa ni mama yangu mzazi yeye ndio kila kitu kwenye Maisha yangu elimu nk
Sasa sitaki kukosea makosa nataka kupitia nyinyi mniweke sawa Ila nisije kujilaumu hapo baadae.
Gheto nataka kununua vitu vifuatavyo
1.Godoro QFL inch 8 240k
2.kitanda bed sofa 300k
3.feni 60k
4.mult cooker 120k Kwa ajili ya kupika maharage nyama nk Pia unaweza kupika hata ugali mana sipendi kula kabisa hotelini
5.meza ya kupika 100k
Ukipiga hesabu za haraka hapo nakuwa nimemtumia laki Saba na elfu sitini 760000/=
Kwenye 1.195m nakuwa nakuwa nimebaki na laki nne na elfu thalasini na Tano 435000/=
Hii nataka kuiweka UTT amis kama saving YANGU Tena ikiwezekana niweke hata 500k kama akiba mana Hapa dar sina ndugu na mama yeye ndio kila kitu.
Mpaka hapo mnanishauri Nini wakuu??
Nataka kumnunulia Maza smartphone hata Infinix zile macho matatu[emoji23] Ila nataka Ela itoke kwenye Bajaj Ila Sio akiba hiyo
Sasa najiuliza atanielewa? Mana amewekeza Sana kwangu Nina appreciate Sana mchango wake.
Wakuu nimelala chini mwka na nusu nikipambania mikataba wa Bajaj now Nimemaliza nimerudi chuo na Bajaj tayari YANGU
Naombeni ushauri wenu wananangu
Mwisho kwenye harakati za utafutaji unaweza kupitia wakati mgumu mpaka ukahisi una Nuksi kumbe hakuna ni mifumo tu...
Karibuni
Mkuu nataka kuingia kwenye hii biashara ya kusafirisha abiria kwa bajaj hebu nipe mwongozoWakuu habari ni mwaka na nusu Sasa nalala chini.. sina Kitu Ndani zaidi ya PC Meza ya kusomea jiko la gasi (taifa gasi)na pazia.
Nimepitia msoto Sana Hali mpaka nilikaribia kutaka kujiua Ila nilipata counseling kubwa kutoka Kwa bro mshana jr imenifanya kuwa strong mpaka Sasa japokuwa kuna mambo makubwa amenisaidia siwezi kuweka hadharani.
Sasa katika harakati za bajaji nimefanikiwa kumaliza mkataba wa bajaj kabisa na imekuwa ya kwangu kabisa.
Nilikutana na masaibu mengi Sana mpaka nikasimamisha masomo (postpone)
Ila mwaka huu nimerudi chuo naendelea mwaka wa tatu na nimepata boom milioni moja laki moja na elfu tisini na Tano mana yameunganishwa maboom mawili.
Nimepitia msoto wanangu na supporter mkubwa ni mama yangu mzazi yeye ndio kila kitu kwenye Maisha yangu elimu nk
Sasa sitaki kukosea makosa nataka kupitia nyinyi mniweke sawa Ila nisije kujilaumu hapo baadae.
Gheto nataka kununua vitu vifuatavyo
1.Godoro QFL inch 8 240k
2.kitanda bed sofa 300k
3.feni 60k
4.mult cooker 120k Kwa ajili ya kupika maharage nyama nk Pia unaweza kupika hata ugali mana sipendi kula kabisa hotelini
5.meza ya kupika 100k
Ukipiga hesabu za haraka hapo nakuwa nimemtumia laki Saba na elfu sitini 760000/=
Kwenye 1.195m nakuwa nakuwa nimebaki na laki nne na elfu thalasini na Tano 435000/=
Hii nataka kuiweka UTT amis kama saving YANGU Tena ikiwezekana niweke hata 500k kama akiba mana Hapa dar sina ndugu na mama yeye ndio kila kitu.
Mpaka hapo mnanishauri Nini wakuu??
Nataka kumnunulia Maza smartphone hata Infinix zile macho matatu😂 Ila nataka Ela itoke kwenye Bajaj Ila Sio akiba hiyo
Sasa najiuliza atanielewa? Mana amewekeza Sana kwangu Nina appreciate Sana mchango wake.
Wakuu nimelala chini mwka na nusu nikipambania mikataba wa Bajaj now Nimemaliza nimerudi chuo na Bajaj tayari YANGU
Naombeni ushauri wenu wananangu
Mwisho kwenye harakati za utafutaji unaweza kupitia wakati mgumu mpaka ukahisi una Nuksi kumbe hakuna ni mifumo tu...
Karibuni
Unataka kuingia vipi, kuwekeza a lot's of million AU unataka mkabata AU unataka kukopa be specific Man.Mkuu nataka kuingia kwenye hii biashara ya kusafirisha abiria kwa bajaj hebu nipe mwongozo
Nakopa bank nimeshamaliza process zote bado kukabiziwa chomboUnataka kuingia vipi, kuwekeza a lot's of million AU unataka mkabata AU unataka kukopa be specific Man.