Ulianzaje kukaa gheto?

Hahahahahahhahahahaha mama hao vilaza Ulikutana nao wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilichelewa kujitengemea si kwamba uwezo sikua nao hapan ni ile tu unakaa na mshikaji mnaelewa hadi kujisahau make kampani ile.

Nilikuja kushituka shuka kumekucha mshikaji tupo kwenye aninitonya mwamba mm nataka kuoa mzee, nilikua ni kitu naiona make demu alikua anamganda kinoma kademu ndo kamemaliza chuo, lakin nakuomba tuendelee kuhishi wote mzee shemeji yako hasikufanye tutengane.

Nikamwambia husijali, hapo ata pesa ya mahari haijatimia na anatafuta.
Nikampatia 200k akaongezea tukafunga safari kwenda kuchukua jiko,ndoa ikafungwa make za kiislamu hamna coplication sana.

Baada ya ndoa tukaamsha kesho yake kurudi mji tuonaoishi, ile tunafika usk jamaa anashuka kwenye gari kwenda na shem mm nikamwambia nitakuja kesho yake ngoja leo nikalel kwa mshiji mwingine

Nyumba ilikua kubwa lakn sikutaka kuishi pale sababu wanawake hawa kukaa nao karibu unaweza kukorofisha na mshikaji wako na mwamba hawezi kuchukua upande wako pindi tayari anamke.

Ule usk nikaenda kulala na rafiki yangu mwingine na kuanza kuishi hapo,Hapo nikaona sasa ndo mda wa kuanza kujitegemea.

Nikapata kama lak 6 niliosave ya mshahara nikatengezesha bed sofa na nikapata mia 3 nikanunua godoro 6*6 inchi 10 nikavileta pale kwa mshikaj make nyumba ilikua nzima kila akawa nalala chumba chake.

Sema kitanda alitengenzea dizani sikuipenda, kwa hiyo nikawa nalala nikisema nitakibadili tu make nilikua nasema siku nikiwa nakwangu nataka kulala sehemu nzuri.

Bas badae ule mkoa nikaona kama unapwaya kidogo na kaz zangu kule nalipwa kidogo, Nikaona sana ni mda muafaka wa kuamia mjizi aka Dzm.
Nikaja dar bila kaz na kufikia kwa msikaji make mwz niliacha bila ata kufukuzwa,week moja badae nilipata kaz ilikua inalipa vzr kiukwel.

Nikafanya mpango wa kusafilisha vitu vyangu toka mwz mapak dzm,nilikua nimejipanda kwamba kitanda lazima kifikie kwa fundi nitengezewa ninayopenda make yule jamaa alikua fundi sofa na sio fundi wa bed sofa,
Baada ya vitu kufika tu gari likashusha kitanda kwa fundi godoro nikapeleka home make hapo nishalipia na kodi ya miez mitano.

Nilipanga karibu na kazn kwa hiyo sikua nilikua nikitembea kwenda kzn.
Baada ya kuweka godoro jmos ya hiyo week nikaenda kariakoo kununua shuka pamoja na pazia nikaweka ndani na maisha yakaanza uku nikilala chini make kitanda kilichukua week mbili kukamilika.

Baada ya mda kikamilika dah nikawa najifurahia likitanda likubwa mwenye make dah kua na kwako raha sana.
Nikanunua redio sabufa nzuri tu make uwezo wa home theater kwa mda ule sikua nao,badae tena nikanunua kabati la nguo nikajipanga tena miezi miwili tena ninanunua zangu tv inchi 55 nikaweka ukutani, hahaa live likawapoa sana nikawa naenjoy ndani kwangu.
Sikutaka vitu vingi ndani kwangu labda mpaka pale nitakapo panga nyumba nzima kali nilitaka pawe smart sana.
Sikua na jiko wala chombo chochote make nilisema ile ilikua sehemu ya kulala.

Mwisho wa siku nikapata sehemu ya kulala nilikua nikitamani,nilikua na heshimu sana pesa kipindi icho siku hizi hiyo heshima sijui imeenda wapi.
 
Weeeh wa hivyo wengi wanakuwaga marafiki wanaosoma chuo ambao hawawez kupanga room wanaotoka kwao wanapenda kusingizia siku akipata balaaa huko kesi inaweza kukuangukia
 
Aaah hawa ndugu zangu Wanyamwezi alafu wanapenda ushirikina sanaaa yani acha tu mpaka mm waliniroga ila niliwafurahisha na mm siyo wa sport sport

Ndani full vikwolombezo vya kufukiza mishumaa inawaka ndani karibia week nzima nilipata changamoto hata kuwafukuza siwezi.
Hahahahahahhahahahaha mama hao vilaza Ulikutana nao wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ha haaa! Umepambana sana mkuu! Hongera kwa hapo ulipofikia.
 
Eeeeh mishumaa tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nacheka kama mazuri vile lol hayo yote ya nini sasa labda
 
Kabisaaaaa na mie sipendi mtu anigusishe kwenye mabalaa yake kila mtu abebe janga lake
Weeeh wa hivyo wengi wanakuwaga marafiki wanaosoma chuo ambao hawawez kupanga room wanaotoka kwao wanapenda kusingizia siku akipata balaaa huko kesi inaweza kukuangukia
 
Sijui mm Nashukuru muda mwingi nakuwa busy nikirud nyumban kulala weekend mm mzee wa kusafir mpaka kwa bebii ndio maana walikuwa wanalipenda ghetto langu
Eeeeh mishumaa tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nacheka kama mazuri vile lol hayo yote ya nini sasa labda
 
Hapo ni nyumbani kwenu hizo kazi ni za kukufanya uishi hapo kama hutaki sepa kaanze maisha yako
 
 
Ndugu zako hawakumind sasa ulivyosepa hom mapema?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaambiwa kalete nyanya pale kwa mama juma...mkuu ww mambo kama yako poa basi ondoka tu...pakikunogea hapo utajikuta umemalza chuo bado upo tu apo
 
ila changamoto nina marafiki wengi, wakijua napokaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tiari nmeiva maana wachizi ua wanajitoa akili hawajui unapanga ili ue free.

tena nina mpango ntafte chumba na seble kabisa
Dawa yao wamkute shemej yao basi
 
Sisi tumelelewa kikomandoo Dada angu mkubwa alianza kukaa ghetto akiwa na miaka 16 tu sasa wazazi wenyewe wazee wa kusafiri wametuzoesha maisha ya kujitegemea mtahama shule kuwafata mpaka wapi?

Tumezoea kujihudumia toka wadogo na ukiondoka kupanga wanakuongezea na pesaa ya kodi maana unawapunguzia mawazo ya kukuwaza .
Ndugu zako hawakumind sasa ulivyosepa hom mapema?
 
Ntakuja kukutembelea si hapo mamba jilo,[emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…