Ulianzaje kukaa gheto?

At least ukiwa geto ni rahis kustuka...masela wakija kukutembelea utakua unaona soo kama huna kitu,haya totoz nazo zikija kukutembelea kama huna kitu ndani aibu,pia hata ww unavyoona mageto ya wenzio yatakuumiza kichwa...kuliko kutobolea hom lazma uwe na mipango kwel...ogopa unaamka asubuh na wao wanakupa ratiba zao[emoji16]
 
Juzi nimeenda kwa ndugu yangu ni Engineer ana bonge la nyumba anaishi na ndugu yake wa kiume wawili mm nilienda kwa mishe zangu nikasema nitafikia Lodge akasema njoo tu home sasa kesho yake nimemaliza mishe nikala juu kwa juu nikarud kulala alivyorud jion akakuta jiko lipo kimya hatujapika na mm sijui ratiba zao aisee akasema kesho sitak nirud hapa nikute takataka yeyote ndan kwangu nilichofanya asubuh nikabeba mafurushi yangu huyo mpaka lodge wala sijamwambia chochote ndio maana nasema bora ukae na maisha yako kukaa home au kwa ndugu ni majanga.
 
[emoji16][emoji16] umetisha jamaa...huyo mwanao sku akija kukutembelea hato amini hilo geto
 
Huyo jamaa kauzu [emoji16][emoji16]

Sasa si unaona hzo tabu...mtu anataka umpikie eti
 
Hahahaha alafu dogo anayekaa naye kama msukule yan mwanaume ana miaka 29 anadekishwa mpaka nyumba kisaa hawez panga gheto nilimpa makavu nikamwambia wewe ni msukule wake tu jitambue mm wala siombi msamaha Baki hapo ujipendekeze mbuzi wewe nikasepa nikamwambia mm hapa na undugu sibembelezi wewe usiyejielewa baki utafua mpaka vyupi
Huyo jamaa kauzu [emoji16][emoji16]

Sasa si unaona hzo tabu...mtu anataka umpikie eti
 
Hahaha hiyo njemba nzima bado inapiga deki? Ndio shida ya kukaa sehem kila kitu unapata...sawa na hom tu hapo

Ila trust me iyo njema kwa makavu hayo lazma itakimbia tu,,hapo umemstua akili...kila akikaaa atakumbuka maneno yako na hatimae atachukua hatua...Atakuja kukushukuru siku moja
 
miaka 29, mbona mzee uyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], dah
 
Ewaah mm kanizidi umri ila najitegemea na hakuamin asubuh etii tumuombe msahamaha Dada x looh nikamjibu hivi kwanza tungepika angelalamika kwa sababu hatujala alafu wewe hujasema chochote kuhusu ratiba zenu anavyoanza kununa ndiyo nn weee mm siwez bhn kuomba msamaha mm najua Dada x ukipika anakuja kulalamika mnatumia vitu hivyo si bora ule juu kwa juu usitumie vitu vyake.

Huyo dogo nakwambia ni msukule kazi yake kununua nguo tu yan namuonea huruma
 
Ndo ushangae anaogopa kupanga kisa anaishi kwenye jumba la kifahar basi anadekishwa anaosha vyombo kama lizezeta sijui kama ataoa kweli kwa ulofa huooo
miaka 29, mbona mzee uyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], dah
 
MI NAKUKMBUKA NILIPOMALIZA CHUO 2017 DIPLOMA YA ELECTERICAL ENGINEER (DIT) NILIKAA HOME MWAKA MZIMA BILA MISHE NILIFANYA VITU VINGI KILIMO NKAPAMBANA ILA MAMBO HAYAKUA SAWA BAADAE NKARUSI TOWN 2018 MWEZI WA SABA NKAPATA JOB SEHEMU FLANI HV NKAWA NAKIMBIZA KM KW MWEZI WA TISA NKAPANGA NILIKUA NABIBIE WANGU MMOJA NAE NILIMWACHA MIAKA KM MIWILI NYUMA AKIWA DIT YULE MANZI NKAMUALIKA GHETTO TULIKUA TUNAISHI VZURI TU NKAWA NA MSISITIZA KWENDA AZINGATIE MASOMO NA KWELI ALIKUA ANAJITAHDI SANA TENA SANA SHIDA AKIJA ALISTOPISHWA CHUO KISA ALIPATIKANA AKICHEAT KWENYE PAPER AKA DISCO TUKAISHI WOTE HVYO HVYO MI NAAAMKA KAZINI YE YUKO HOME NKIRUDI TUBASHAURIANA CHAKUFANYA NA KIPI TUSIFANYE TUKAENDA HVYO HVYO YULE AMANZI AKAANZA KUNIPANDA KICHWANIBMARA NSITOKE YSIKU MARA HVI AKATI KAZI ZETU 24/7 NKAONA HUYU TUTASUMBUANA BHAC IKAANZA MIGOGORO AMBAYO HAINA TIJA HAPO MWAKA JANA MWEZI WA KUMI NA MOJA HVI 2018 SIKU NIKO KAZIN NAPEWA TAARIFA YULE MANZI WAMEMCHAMBA MAMA MWENYEWE NYUMBA DAAH NILIUMIA SANA KWANIN KAFANYA VILE NILIMKANAYA ILA AKAANZA UJEURI MARA SIKU KAZAA TUKAPEWA NOTICE YA KUHAMA ILA NILIMWOMBA BABA MWENYE NYUMBA ANIPE KM WIKI HV NITAFTE ROOM INGINE BHAC SIKU NIKO KAZINI NAFANYA MISHE MISHE DEMU WANGU AKANIPIGIA SIMU TUMEAMBIWA TUHAME SIHUI HV SIJUI VILE BHAC KILICHOFUATA JIONI ALIKUA ANANIPIGIA SIMU OH TUHAME LEO TUHAME YAN KILAZIMA AFU MI PESA YANGU IJAINGIA BADO BHAC AKACHUKUA VITU VYOTE AKASEPA NAVYO AISEEE NILIUMIA SANA Y KAFANYA VILE NA KWANIN SASA MTIHANI UKAJA KURUDISHA VILE VITU UKAWA MGGORO MKUBWA NKAJA NKAPIGA CHINI TUKAACHANA NIKAENDELA NA MAISHA YANGU HOME SA HVI NAJIPANGA KUPANGA TENA ALINIRUDISHA NYUMA ILA NAMSHUKURU MUNGU NIMEPATA VITU VINGINE NA MAISHA YANASONGA
 
Huu ni zaidi ya uzembe
 
Huyo kweli msukule miaka 29?
 
uliyumba
 
Pole sana mkuu..hawa viumbe kuwahi kuishi nao geto ni shida tu

Na ni weng wanamtindo wakukimbia na vitu..hata hapa jiran kuna dem kakimbia na vitu vya jamaa vyote...mwana anarud usku anakuta geto jeupeee [emoji16][emoji16] ikabd aje kuomba mkeka
 
Pole sana mkuu..hawa viumbe kuwahi kuishi nao geto ni shida tu

Na ni weng wanamtindo wakukimbia na vitu..hata hapa jiran kuna dem kakimbia na vitu vya jamaa vyote...mwana anarud usku anakuta geto jeupeee [emoji16][emoji16] ikabd aje kuomba mkeka
Daah asanteh broh ila nshapoa sa hv najichanga mdg mdg soon nahamia kwangu ila ni jambo ambalo linanyima raha aiseee kila nkiliwaza
 
#Nini lilikusukuma usepe home?
wakati/muda

#Kitu gani kilikupa mzuka wa kuanza kukaa geto?
shauku ya kuanza life langu mapema


#Vipi ulianza kukaa geto ukiwa na kazi au kibishi tu?
kibishi huku nikisubiri kazi


#Maisha yalkuaje since day one?
tough

#Je ulienjoy uamuzi wako wa kusepa home?
yes, sana.
#ulianza kununa vitu gani vya msingi na kuanza kuishi
bed, godoro, tv, jiko la gas, meza, vyombo basic
#Una lipi la kuwaambia wana walioko home hadi leo wakiogopa kukaa geto kisa hawana ajira bado?
they CAN
[/QUOTE]
 

Vijana wenye option ya kurudi nyumbani baada ya chuo huwa mna changamoto sana, chuma kikipata moto tu unarudisha mpira kwa kipa, kwa wenye mazingira ya “you are on your own” soon baada ya kuanza au kumaliza chuo huwa hawapati shida hapa, maana kwao there is no turning back
Back to your questions

Kitu nachoweza kuwashauri wadogo zangu( na wengine rika yangu) ni tafuta mishe za hapa na pale kabla hujamaliza chuo, kazi za kuajiriwa chache sana siku izi, tegea boom limetoka chukua laki 1 or 2 au zaidi kulingana na mtaji wako nenda kasort mzigo wowote mzuri kariakoo iwe Sandal, phone covers nguo or viatu visimple or chochote chuo kwenu ongeza elfu 2, 3 hadi 5 kwa kila product utapata faida, tumia advantage ya kua chuo ikupe chochote, ujasiriamali sehemu kubwa ni kununua kitu point A na kukiongezea thamani au kukiuza kama kilivyo point B, toa kwenye supply ndogo peleka kwenye demand kubwa. HIVYO TU.

Otherwise jitahidi kutafuta connection ya issue za proffesional yako uanze kuomba vikazi vya hapa na pale kwa waliokutangulia mapema, lengo ni uwe na kipato hata kidogo au na kitu cha kufanya soon ukimaliza, by the way Gheto ni kitu kidogo sana, hizi njia zitakupa more than Ghetto in couple years

Kama umesharudi home kwa bahati mbaya au intentionally usipanick wala usiwe na haraka kurudi geto bila plan ya uta survive vipi, hela ya kwenda kuanzia kupanga ifanye mtaji, assess opportunity zinazokuzinguka na uone namna ya kuzitumia, home ni hapa Dar na kuna space fuga hata kuku wa mayai au nyama wana demand kubwa sana mjini. Fanya chochote halali applicable mazingira ya home/ tumia mazingira yako kujitengenezea kipato
BTW, Unajua kuna watu wanaishi kwa kupikia/ kuuza Biriani nyumbani na kufanya delivery hata physical place hawana? Yani hata hawapiki wao wametafuta tu mpishi wao wanatumia social medias zao kutafuta wateja hata kwa whatsapp status tu?

Just for inspiration. Tupo watu tumemaliza chuo miaka miwili mitatu iliopita, hata hela ya kuprint research na kufanya graduation haikuwepo but tunakomaa mtaani na leo hii nina Sehemu yangu comfortable ya kuishi, Kibiashara changu cha kunipa mkate wa siku( with plans za kuexpand biashara), nimeshapata usafiri wa kurahisisha movement za hapa mjini, heka mbili nje ya mji, na saizi natafuta hela ya kiwanja huko Dodoma but hadi sasa sijaajiriwa popote na kwa ajira za sasa serikalini zilivyo naweza nisi apply at all

Pita kwenye magroup ya ujasiriamali kuna biashar zinazohitaji small inital capital but ukitega pazuri una uhakika wa kupata chochote, kuna chips na nyinginezo.

Tujitahidi kutumia mazingira yanayotuzunguka kujitengezea kipato, ajira zikija iwe ni nyongeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…