Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashangaa 29? Kuna jamaa ana 36 bado yupo kwaoHuyo kweli msukule miaka 29?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah anataka akufanyie remix uyo[emoji16][emoji16]
Hahaha jamii ya TID mpaka tabiaHuyo TID nn?[emoji3]
Inawezekana mkuu...now najickia amani saana kila nkitoka na kurudi kwangu....nacheki movies bila bugudha...nakula nitakacho...!!japo sijafika lkn hatua nimepigaNakukumbuka mkuu
Hatime you made it...dah big up sana
Kumbe tukihamasishana tunatoka kwel [emoji16]
Shekhe usikae nae tu ila kufua afua ila usiishi nae jau kabisa na usijarbu hawa viumbe HAWANA MAANA JAPO NI MAMA ZETUwazee, geto naenda uu mwaka haukati kabisaa, na nina uhakika wa chapaa.
ila wazew ii ya kupika na kufua, na hasa hasa kudeki itanitia kwenye matatizo na sitaki kuoa saivi, na mke wangu nataka nizzd ata miaka mitano.
saiv nina 22, naemzd miaka mitano ana 17 saivi, uku kupika wazee, kutanipeleja pabaya kabisa, na lazma nijitegemee tu, ila awa mademu ua nawaogopa sana.
Akiona una uwezo wa kum handle anweza kukubambikizia mimba, au kukung'ang'nia kabisa, ngoja nione ii movie ya kupka na kufua itaishia wp
Kuna wawili wajinga sana siku hizi nawaambia sipoNilijua n mm peke yangu tu kumbe hata na nyie mnapitia hii changamoto
Kuna wawili wajinga sana siku hizi nawaambia sipo
Nimecheka na mbilinge za hao maslay queen na venye unawakomesha[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha nilikua na marafiki wanga kinoma..usiku ukifika muda wa kulala wenyewe ndio wanafukiza Sasa..yalikua ni mateso jamani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] demiss wewe
Rating 5/10Inawezekana mkuu...now najickia amani saana kila nkitoka na kurudi kwangu....nacheki movies bila bugudha...nakula nitakacho...!!japo sijafika lkn hatua nimepiga
Kkubwa ni uzima tu...Tutafika ndugu yangu
Halafu kuna Ex alinikataaga anataka kurudi...!!i mic yu nying saana...!!ukianza kujitegemea heshima lazma upateView attachment 1178299
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izi maisha wachache sana tumeishi.Mh! hii ya leo balaa,,, kila MTU nilipomaliza chuo,, ooh! First year, watu tumetoka mbali... Kitendo cha kumaliza la saba ndo tiketi ya kuhama nyumbani. Nakumbuka kauli ya mzee huu ndo mlo wako wa mwisho cha ajabu sikumuelewa kilichonikuta asbuh nilijikuta natimuliwa ndani kama mbwa koko aliyekosea njia.nikijichek nimevaa kaptula na kaushi nikajichanganya kitaa.. okota skrepa sana!! nikajichanganya car wash zoote nikawa najulikan mwish wa siku nikaingia geleji. Ila geto letu ndo lilikua balaa watu 14 chin maboksi utajua pakula alafu kunuka kam beberu ilikua kawaida
Mtu hata kama anakaa nyumba ya vyumba viwili vya kulala na sebule kama bado hajaoa naona kama geto tuNimesoma comment zote kumbe wanaume wengi jf wapo getho lakini kwenye nyuzi zingine mnasemaga mnaishi kwenye majumba mna magar na mmeoa aisee hebu jaman punguzen hamjui mnavyotupa stress kuwa mmetoboa maishaa hatariii mtupe mbinu.
Mtu hata kama anakaa nyumba ya vyumba viwili vya kulala na sebule kama bado hajaoa naona kama geto tu
Mungu akawe pamoja nawe,wakati wote na akuonekanie muda wowote utakao muhitaji...Ahsante mkuu.Nimetokwa na machozi.... Pole na hongera kwa kuwa na moyo wa uvumilivu..... Mungu akubariki zaidi
ShukraniMungu akawe pamoja nawe,wakati wote na akuonekanie muda wowote utakao muhitaji...Ahsante mkuu.