Bless mamHa haaa! Umepambana sana mkuu! Hongera kwa hapo ulipofikia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bless mamHa haaa! Umepambana sana mkuu! Hongera kwa hapo ulipofikia.
Naomba namba ako aseeDaaah mimi nilianza kuishi geto kigumu sana nilikua sina kitanda godoro wal jiko in Mimi na begi langu na hela kidogo daah nilikua Nina umri wa miaka 25
Hahahaha alafu dogo anayekaa naye kama msukule yan mwanaume ana miaka 29 anadekishwa mpaka nyumba kisaa hawez panga gheto nilimpa makavu nikamwambia wewe ni msukule wake tu jitambue mm wala siombi msamaha Baki hapo ujipendekeze mbuzi wewe nikasepa nikamwambia mm hapa na undugu sibembelezi wewe usiyejielewa baki utafua mpaka vyupi
Khaaaa huyo mtu ni hatari miaka 29 unakubalu kudekushwa. M nakumbuka natoa proposal ya kupanga brother wangu akanizuia alitaka nibaki nyumbani nimsaidie baba shughuli za home hasa za kutunza mifugo yake, kma nikitaka hela nimuambie atakua ananisapoti kisa yeye ni mwajiliwa.. Nikasema poa broo siku ya pili tu nikamuomba milioni 2 nifanyie biashara akasema hana, akaja kusikia niko gheto baada ya miezi 2 mbele.
Siku karudi home baada ya kupata likizo kagoma kufikia home kaja kulala ghetto kwangu.
Ko huyo dgo asipojiongeza mwenyewe atakoma hapo, anaefanyiwa kazi hata mshauri kuondoka atalicha tu lideki vyoo ving'ae huku anadindikizwa na kejeli na majungu kibao
Hata kama umepanga ghorofa zima kama hujaoa ni ghetto tu. Ni mwanamke pekee ndo anafanya iitwe nyumba (nyumbani).Mtu hata kama anakaa nyumba ya vyumba viwili vya kulala na sebule kama bado hajaoa naona kama geto tu
Thanx mkuu hivyo nilivitafuta hata kabla sijaingia maghetoniKaza man, ila hapo kimsingi basics za ghetto la kiume zipo tayari.
~Kitanda
~Jiko
~Mziki wa kupunguzia kelele za minjunjano [emoji23]
Nikisimulia A to now (Z is death) ya hustle zangu nitareveal my identity so i better keep my mouth shut!
All in all vijana tupige kazi. You are the only person who can save your a$$ in this world.
Hustle more mpaka uachane na life la kulala chumba kimoja na ndoo za maji, gesi za majiko, viatu, TV humo humo.
It's possible.
Neti za chuma, znadondoka ukiwa ktk harakati zetu zileNakumbuka mwaka jana niliaga nyumbani kua natak kusepa nikatafte maisha
Mzee Akanambi hakun kuondoka hapa had nione assets zako
Dah nkasem poa....
Miezi miwili mbele nkapata kaz... Nje kidogo ya mji basi ndo naishi hapa
Changamoto ni kupika na kufua tu[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1175222View attachment 1175223
Hahaha a umetishaNakumbuka nmetoka kwenye pepa na mwenzngu nmempakia kwenye boda boda tunarudi zetu home babamkwe ananipigia simu jerry uko wapi nkamwambia,heb njoo swhemu flani wakati nashuka pale na mwanake anakitumbo namshusha huku namtania mzee alitoka chozi la furaha alivyokuwa anatuangalia,nikaonyeshwa gari aina ya ist,that time ndo ubber imeingia tz,akanambia hii ndo gari nliyowapa but kwa sharti la kuniletea kila siku elfu 20 then baada ya mwaka litakuwa lenu,basi nkachukua piki piki nikaifunga sehemu na kuiweka lock then nkachukue ndinga na wife mpka tumapokaa then baadae nkaifata piki piki mpka kule then nkaileta home.
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]Neti za chuma, znadondoka ukiwa ktk harakati zetu zile
Eee ndugu yangu fanya fasta fasta hama home kajitegemewNipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
Nipo nyumbani mpaka mda huu na-type. Hali inazidi kua mbaya wakuu, naomba niwahaidi mwanzoni mwa mwez wa 9 picha ya geto Langu. Mungu nisaidie.
Wala hamna shida boss, wahi kacheki tu mazingira, ukiona hapakufai na budget yako inatosheleza unaweza chukua room hata moro mjini then ukawa unapanda hiace mpaka Mzumbe.Nataka nikasome uko mzee hila sihitaji kukaa hostel na vitoto