Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Kiufupi get nilianza kukaa na miaka 17 nimekaa kam miaka miwil nikapata mchongo mkoa mwengine kwa ajil ya kuuza duka la jumla mashart natakiwa nikae kwa boss ad now na 21 nakaa kwa boss ila geto ntalid tu namiss sana geto
Aisee itabd urud mageton mkuu
 
kuna dili nmepata napgwa lak 8 kwa mwezi, na wiki ijayo nategemea kupgwa kama lak 8 na nusu ya kuanzia, nna mpango wa kununua kitanda laki 4 na godoro laki 2, alafu nitulie kwanza, baada ya miezi mitatu naenda mzima kabisa, ila fridge na oven ni mhimu + kabati la nguo, meza na kiti, mengine ntaongezea uko uko
 
Mkuu kwel unaanza na moto..bed ya 400 kibingwa sana hiyo
 
Back
Top Bottom