Ulianzaje kukaa gheto?

Safari yangu ya ghetto ilianzia pale nilipokuja mjini dar kutoka mbeya nilifikia kawe ghetto la mshikaji wangu huku nikiwa napiga kitabu NIT mabibo sasa kutokana najamaa angu kutaka mimi ndo niwe msafisha ghetto mpikaji nikaona miyayusho nikajichanga nikapata ghetto mabibo la elfu 35 kwa wanaopajua mabibo mabwawani nawale wahuni aibu!

Haaha ukipita wanauomba 200 ukiwanyima jiandae jioni unavorudi kutoka kuangalia UEFA haahhaha huku nikiendelea nakitabu na michakato yangu mabo hayakua mabaya nikavuta ghett sinza madukani nikahama mabibo nikawa mtu wa sinza huku nikiendelea namichakato yangu mana masomo yakasimama akati nipo 2rd year ivo nikajikita zaidi katika michongo nikawa mkulima nikawa natumia fursa inayopatikn kama kipindi cha korosho nazama kusini kama kipindi cha mpunga naingia kyela mbeya namshukuru Mungu saivi nimehamia bunju nalipa 150k per month na nina kijikampuni kinachohusiana na aluminium.

mwisho wa story
 

By the way uzi ni wa 2018( almost a year now), tupe progress na experience umefikia wapi sasa mkuu?
 

Manzi kakuzima vitu vya ndani? Dah

Yani kaenda kukodi Carry/ Canter intetionally kabisa aje asombe vitu, aisee mamanzi wa DIT wameshindikana..
 
wazee, geto naenda uu mwaka haukati kabisaa, na nina uhakika wa chapaa.

ila wazew ii ya kupika na kufua, na hasa hasa kudeki itanitia kwenye matatizo na sitaki kuoa saivi, na mke wangu nataka nizzd ata miaka mitano.

saiv nina 22, naemzd miaka mitano ana 17 saivi, uku kupika wazee, kutanipeleja pabaya kabisa, na lazma nijitegemee tu, ila awa mademu ua nawaogopa sana.

Akiona una uwezo wa kum handle anweza kukubambikizia mimba, au kukung'ang'nia kabisa, ngoja nione ii movie ya kupka na kufua itaishia wp
 
Nakumbuka kupitia thread hii nilisema mwezi wa 8 mwaka jana nitapanga chumba coz kila kitu kipo tyr

Nilisogeza siku kwakuwa nlkosa chumba nkitakacho(stak nkae na mwenye nyumba)

Niliingia kupanga mwaka huu February....nikiwa na kitanda cha mbao...gesi...meza ya kshkaji....tray za vyombo na sabufa

Nikapigana kuongeza tv...nkabadlsha kitanda...!!nkachukua na feni....na mambo yakikaa fresh ntachukua kabati

Kupanga inawezkana ukiamua kutoka moyoni....unajifunza maisha lkn pia inakupa heshima...kwenye familia...mtaan na jamii kwa ujumla

Now kila nkitoka mishe nkiingia tu kwangu hua nasahau kabisaa shida zoteView attachment 1178279
 
wakati/muda


shauku ya kuanza life langu mapema



kibishi huku nikisubiri kazi



tough


yes, sana.

bed, godoro, tv, jiko la gas, meza, vyombo basic

they CAN
[/QUOTE]Aisee...umetisha mkuu
 
Shukran mkuu kwa mawazo yako...hop yatasaidia na wengine ..bless[emoji1373]
 
Kutoka 35 hadi 150 mkuu,umepambana sana

Hapo funzo kubwa ni kujituma na harakati tu.. mambo yanakua sawa kabisa

Hongera sana mkuu.. big up kwa inspiration
 
Make ndio Nini mkuu?
 
By the way uzi ni wa 2018( almost a year now), tupe progress na experience umefikia wapi sasa mkuu?
Kwa sasa mkuu nilifanikiwa kuchomoka mwezi wa 4 mwaka huu..nikapata room kimara

Nilichokiona ni uwoga tu ndio ulinisumbua pia..kwa sasa nakimbiza harakati zangu ,na uzur mim ni expert wa software za simu na computer basi hapa nilipo hamia nawapiga kweli kweli [emoji16][emoji16]

Shukran ziwafikie wote waliochangia huu Uzi ndio wamenifanya nitoke tena kwa kipa mkuu[emoji1373][emoji1373]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenikumbusha nilikua na marafiki wanga kinoma..usiku ukifika muda wa kulala wenyewe ndio wanafukiza Sasa..yalikua ni mateso jamani.
 
Kupika ni process mkuu..utazoea taratbu tu
 
Nakukumbuka mkuu

Hatime you made it...dah big up sana

Kumbe tukihamasishana tunatoka kwel [emoji16]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] demiss wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…