Ulianzaje kukaa gheto?

Ulihama kibingwa sana mkuu..hongera sana..
 
Mkuu Wachek wale madalali wa insta
 
[emoji119][emoji119] mwanangu unapend music system kama mim[emoji16][emoji16]
 
Mkuu ndo huyu uliyekutana nae baadae akiwa anauza nyanya,kachoka ile mbaya?
 
Muongo huyu jamaa
Kweli jamaa ana stories nyingi za uongo na humo hujifanya mwema sana. Anza na story yake na baba mkwe,njoo na story yake ya kuachana na demu wake na baadae kumkuta anauza nyanya.

Pia kuna sehemu alisema alichanjwa na babu mmoja uko Kigoma baada ya kumsaidia sijui kijana wake. Ile chanjo ilimsaidia pindi alipopewa glasi ya kinywaji chenye sumu.

Hizi zote fix za viwango vya juu[emoji23][emoji23]
 
Dohhh.. Hatari mzeee
 
Kwa sisi watoto wa mwisho inakua ni mbinde sana kuchomoka home, ila mwakani lazima kieleweke tu
 
Nilihamasika kupanga kupitia thread hii na still bdo nahamasika kuongeza vitu ndan

Japo sijafika nnapotaka lakini kesho yangu naiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…