Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

So kupitia mimi hope mtajifunza vijana wenzangu kuwa endapo utalitumia vizuri basi hakika maisha yak yatabadilika.pia la mwisho ni kumtafuta mwenza mwenye maono ila uiangukia kwa kwa hawa makahaba wa mjini utaishia kuhangaika mwisho wa siku unarudi nyumbani ukiwa na miaka 40,bila kufanya lolote
Jerrybanks
Mkuu kweli umehustle. Big up
 
Safari yangu ya ghetto ilianzia pale nilipokuja mjini dar kutoka mbeya nilifikia kawe ghetto la mshikaji wangu huku nikiwa napiga kitabu NIT mabibo sasa kutokana najamaa angu kutaka mimi ndo niwe msafisha ghetto mpikaji nikaona miyayusho nikajichanga nikapata ghetto mabibo la elfu 35 kwa wanaopajua mabibo mabwawani nawale wahuni aibu!!! Haaha ukipita wanauomba 200 ukiwanyima jiandae jioni unavorudi kutoka kuangalia UEFA haahhaha huku nikiendelea nakitabu na michakato yangu mabo hayakua mabaya nikavuta ghett sinza madukani nikahama mabibo nikawa mtu wa sinza huku nikiendelea namichakato yangu mana masomo yakasimama akati nipo 2rd year ivo nikajikita zaidi katika michongo nikawa mkulima nikawa natumia fursa inayopatikn kama kipindi cha korosho nazama kusini kama kipindi cha mpunga naingia kyela mbeya namshukuru Mungu saivi nimehamia bunju nalipa 150k per month na nina kijikampuni kinachohusiana na aluminium. ... mwisho wa story
Hahha mabibo beach hahah napafahamu sana nimesoma NIT pia na nimekaa sana makutano ila maeneo ya mabwawani sijawahi jaribu wanachuo walikua wanalizwa sana pale
 
Ile kufika tu chuo first year Morogoro, nikaulizwa utakaa hostel? Nikaambia hapana nitapanga mtaani, wakasema utaweza kweli nikaambia ndiyo. Bhas nikatoka home na godoro tuu nikatimba nalo sehemu nimepata chumba baada ya siku kadhaa nikaongeza mazaga kidogo. Ila mpaka leo nimependa style ya kulala chini na godoro tu na sijawaza kununua kitanda tena.

Changamoto kubwa ni kwenye kulipa kodi hapo ndo tunapelekeshana kweli na mwenye nyumba, maana maisha yanaenda bila mkopo. Ila now mwaka wa mwisho naenda sio mbaya nimezoea.

Aki maisha ya geto ni mazuri sana hasa ukiwa una mamisosi ndaniii.
 
Vyumba sh ngp uko mzee na mm nakuja uko Chuo??
 
Yess
 
Wakuu kama nilivoaidi sitwaangusha, ndani ya mwezi mmoja geto ndo lilivyo sasa hivi
IMG_20191023_074931.jpeg
IMG_20191023_074916.jpeg
IMG_20191023_075124.jpeg
IMG_20191023_075153.jpeg
 
Back
Top Bottom