Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

mm akili ya geto nimeipata baada ya fundi mmoja alikuwa ametengeneza bed kali alafu mteja wake haeleweki lile bed akaniuzia kwa 200k pale ndio nikapata mzuka aisee nikapambana nikanunua godoro nikaweka darini na kitanda nikanunua sofa nikaweka store hapo bado niko home mzee nikanunua showcase nikaweka store.

mzee ugali wa bure mtamu asikuambie mtu mziki nilikuwa nao pamoja na desktop siku nikasaka kodi nikapata mazee nikawaaga kwa mbwembwe zote geto nikahamia wakuu nikahamia ile siku ya kwanza sikulala joto la kufa mtu kwa hasira nikarudi home nikasema huku siji hadi nipate feni.
haha kama wiki hivi nikarudi na feni aisee maisha ya geto ni swafi hadi leo niko zangu geto mzee ananambia chumba chako vipi hukitaki namwambiaga hakina hajaaaa..
Miaka kadhaa sasa nipo geto full amani geto limesheheni hadi nikitembelewa naulizwa vipi utaoa lini. [emoji23]
[emoji1373][emoji1373][emoji1373] kiutani utani

Uoe sasa mkuu[emoji1787]
 
HUU NDIYO UZI UMENIFANYA NIFIKIRIE SANA MAISHA YANGU.NINA MPANGO WA MWEZI WA SABA KUANZA KUISHI GETO


MADOGO NILIOWAACHA PREFORM 1 WAKO CHUO
ni mwaka mmoja kamili baada yakuahidi naanza maisha ya ghetto.Namshukuru mungu niko ghetto tayari.
nitarudi na story fupi na mapichapicha ili kuendelea kuhamasishana.

"mbwa wako mkali"
"asante na wewe pia"
 
Back
Top Bottom