Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Mimi kwenda kukaa gheto haki nilifosi,yaani wazazi walikua wabishi kukubali woiii ikabidi niingie gharama ya kutafuta chuo niongezee elimu,nikaondoka home kwa kigezo cha kwenda kujisomea nikaenda kupanga ilala mchikichin karibu na kiwanda cha bia lol.

Aisee kile kiwanda cha bia kilinifanya niwe nalewa kila mara maana ule upepo wa pombe ukivuma nahisi mawenge[emoji23].Tokea hapo ndo ukawa mwanzo wa kujitegemea.
 
Vizuri
Mimi kwenda kukaa gheto haki nilifosi,yaani wazazi walikua wabishi kukubali woiii ikabidi niingie gharama ya kutafuta chuo niongezee elimu,nikaondoka home kwa kigezo cha kwenda kujisomea nikaenda kupanga ilala mchikichin karibu na kiwanda cha bia lol.Aisee kile kiwanda cha bia kilinifanya niwe nalewa kila mara maana ule upepo wa pombe ukivuma nahisi mawenge[emoji23].Tokea hapo ndo ukawa mwanzo wa kujitegemea.
 
Hahaa wewe utakua mchaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi kwenda kukaa gheto haki nilifosi,yaani wazazi walikua wabishi kukubali woiii ikabidi niingie gharama ya kutafuta chuo niongezee elimu,nikaondoka home kwa kigezo cha kwenda kujisomea nikaenda kupanga ilala mchikichin karibu na kiwanda cha bia lol.Aisee kile kiwanda cha bia kilinifanya niwe nalewa kila mara maana ule upepo wa pombe ukivuma nahisi mawenge[emoji23].Tokea hapo ndo ukawa mwanzo wa kujitegemea.
Aiseee [emoji1787]
 
Huyo alikuwa zaidi ya danga
MI NAKUKMBUKA NILIPOMALIZA CHUO 2017 DIPLOMA YA ELECTERICAL ENGINEER (DIT) NILIKAA HOME MWAKA MZIMA BILA MISHE NILIFANYA VITU VINGI KILIMO NKAPAMBANA ILA MAMBO HAYAKUA SAWA BAADAE NKARUSI TOWN 2018 MWEZI WA SABA NKAPATA JOB SEHEMU FLANI HV NKAWA NAKIMBIZA KM KW MWEZI WA TISA NKAPANGA NILIKUA NABIBIE WANGU MMOJA NAE NILIMWACHA MIAKA KM MIWILI NYUMA AKIWA DIT YULE MANZI NKAMUALIKA GHETTO TULIKUA TUNAISHI VZURI TU NKAWA NA MSISITIZA KWENDA AZINGATIE MASOMO NA KWELI ALIKUA ANAJITAHDI SANA TENA SANA SHIDA AKIJA ALISTOPISHWA CHUO KISA ALIPATIKANA AKICHEAT KWENYE PAPER AKA DISCO TUKAISHI WOTE HVYO HVYO MI NAAAMKA KAZINI YE YUKO HOME NKIRUDI TUBASHAURIANA CHAKUFANYA NA KIPI TUSIFANYE TUKAENDA HVYO HVYO YULE AMANZI AKAANZA KUNIPANDA KICHWANIBMARA NSITOKE YSIKU MARA HVI AKATI KAZI ZETU 24/7 NKAONA HUYU TUTASUMBUANA BHAC IKAANZA MIGOGORO AMBAYO HAINA TIJA HAPO MWAKA JANA MWEZI WA KUMI NA MOJA HVI 2018 SIKU NIKO KAZIN NAPEWA TAARIFA YULE MANZI WAMEMCHAMBA MAMA MWENYEWE NYUMBA DAAH NILIUMIA SANA KWANIN KAFANYA VILE NILIMKANAYA ILA AKAANZA UJEURI MARA SIKU KAZAA TUKAPEWA NOTICE YA KUHAMA ILA NILIMWOMBA BABA MWENYE NYUMBA ANIPE KM WIKI HV NITAFTE ROOM INGINE BHAC SIKU NIKO KAZINI NAFANYA MISHE MISHE DEMU WANGU AKANIPIGIA SIMU TUMEAMBIWA TUHAME SIHUI HV SIJUI VILE BHAC KILICHOFUATA JIONI ALIKUA ANANIPIGIA SIMU OH TUHAME LEO TUHAME YAN KILAZIMA AFU MI PESA YANGU IJAINGIA BADO BHAC AKACHUKUA VITU VYOTE AKASEPA NAVYO AISEEE NILIUMIA SANA Y KAFANYA VILE NA KWANIN SASA MTIHANI UKAJA KURUDISHA VILE VITU UKAWA MGGORO MKUBWA NKAJA NKAPIGA CHINI TUKAACHANA NIKAENDELA NA MAISHA YANGU HOME SA HVI NAJIPANGA KUPANGA TENA ALINIRUDISHA NYUMA ILA NAMSHUKURU MUNGU NIMEPATA VITU VINGINE NA MAISHA YANASONGA
 
Mi nimeanza maisha ya geto toka nikiwa na miaka 20 tu,,hadi saiv miongo kadhaa imepita.

Ila sina sijanunua na sitanunua jiko milele maana sipendi kupika balaa.
Anza kupika boss[emoji1787]
 
mm akili ya geto nimeipata baada ya fundi mmoja alikuwa ametengeneza bed kali alafu mteja wake haeleweki lile bed akaniuzia kwa 200k pale ndio nikapata mzuka aisee nikapambana nikanunua godoro nikaweka darini na kitanda nikanunua sofa nikaweka store hapo bado niko home mzee nikanunua showcase nikaweka store.

mzee ugali wa bure mtamu asikuambie mtu mziki nilikuwa nao pamoja na desktop siku nikasaka kodi nikapata mazee nikawaaga kwa mbwembwe zote geto nikahamia wakuu nikahamia ile siku ya kwanza sikulala joto la kufa mtu kwa hasira nikarudi home nikasema huku siji hadi nipate feni.

Hahaa kama wiki hivi nikarudi na feni aisee maisha ya geto ni swafi hadi leo niko zangu geto mzee ananambia chumba chako vipi hukitaki namwambiaga hakina hajaaaa.

Miaka kadhaa sasa nipo geto full amani geto limesheheni hadi nikitembelewa naulizwa vipi utaoa lini. [emoji23]
 
Back
Top Bottom