Ulianzaje kukaa gheto?

Ulianzaje kukaa gheto?

Getto alone
Screenshot_2020-02-01-10-22-02-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeanza kukaa ghetto baada ya kusoma huu uzi nikatokea kutopenda hostel. Nilitafuta room mapema hata sikuulizia hostel. Chumba kipo nyumba salama na yenye ulinzi ingawa ni kidogo. Siwezi weka picha maana nina godoro, kapeti,feni, shoe rack. Sina kabati, tv, subwoofer wala madoido mengine. Hajawahi ingia demu kwenye room yangu. Nakusanya shilingi kadhaa nahisi nikiwa second year mwishoni ninunue kila kitu.
 
Big up mkuu...hakika hapo hurud tena nyumban ukimalza chuo...pia hongera kwakua inspired na kufanya kwel

Sent from my SM-G9550 using Tapatalk
 
Nilitoka kwa kusema kabisa sirudi home baada ya chuo. Sina mkopo ndo maana nimelipia vitu kibao nikakosa hela ya kununua vitu vya ndani. Alafu pia sipendi bidhaa za kiswahili, haya masabufa ya Kodtec na Ailipu. Nitalazimika kununua vitu vya gharama hata nikitoka chuo nisivizuze.
 
Back
Top Bottom