Ghetto maanake nini mkuu. Nikipanga appartment haiwezi kuwa ghetto langu la kuanzia maisha maana sijajenga bado. Na most appartment unakuta tayari furnished, mpangaji ni kulipa kodi tu.
Pale ndio nimechomoka home kuja kuanza life la ghetto man. Huku ghetto ni appartment mkuu.
Dona acha ukorofi...naona umetafunwa sana geto mremboGeto sehemu ambapo wadada wanatafunwa kama nyama...
1999 Vidudu - 2009 sekondari form 6 , kweli we mkareWazazi walihamia kikaza Moro mwaka 1999 walipanga,me nilikua vidudu,baada ya kumaliza kazi,wakahama Moro mwaka 2009
me nilikua secondary school nikashindwa kuhama Moro nilikua form 6 halafu shule ya kutwa so nikawa nakaa geto la bro ambae alikua houseboy wetu mtaa mwingine,bro fear Kula kulala bureeee sichangii nikamaliza shule, kurudi kwetu sitaki lol,,nikaa na bro kama miaka 3,,nafanya kazi fedha zangu Bata mademu,,mwaka 2013 bro kanambia anataka kuoa so pale atahama chumba ataniachia ila kwa kuanzia atanilipa Kodi miezi 6,,kweli December akaoa Kodi hajanilipia,akasema kumaliza pesa kwenye harusi,,Kodi elfu 50 kwa mwezi inatakiwa tsh 300000 mfukoni nina elfu 20000,nakumbuka niliuza iPhone yangu 5s laki 400 ndio nikapata Kodi,tangu hapo Hadi leo sijawahi kulala kwa mama na baba,hata kwa bahati mbaya
Nilikuwa najaribu kucalculate hizo hesabu za mwamba, mwisho wa siku nikapotezea tu.1999 Vidudu - 2009 sekondari form 6 , kweli we mkare
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nitoe bwana mimi mama mtu mzima ujue hizo mambo za vijanaHahaha nani hawachi miss natafuta financial service au nakwede au shune au sweet love [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Zuriiiii [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Ghetto maanake nini mkuu. Nikipanga appartment haiwezi kuwa ghetto langu la kuanzia maisha maana sijajenga bado. Na most appartment unakuta tayari furnished, mpangaji ni kulipa kodi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Apartment not Appartment.Pale ndio nimechomoka home kuja kuanza life la ghetto man. Huku ghetto ni appartment mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishi na pikipiki ndani kwa muda Honda 50 Super Cab jijini Tanga. Kila asubuhi naamka nimelewa harufu ya petrol, kalikuwa kana-float carburator yake
Nimesema shune sio shunie ππππMimi nitoe bwana mimi mama mtu mzima ujue hizo mambo za vijana
Nilianza kujitegemea nikiwa na miaka 18 haikuwa kitu rahisi lakini ukikomaa unawezaKama Wewe Umepanga Kwenye Chumba Kimoja A.K.A Ghetto,Hebu Nipe Motivational Speech au Ushauri.
..
Me Nina Miaka 21 Nimechoka Kukaa Nyumbani!!